NAGAMAHONGA
JF-Expert Member
- Dec 11, 2012
- 12,322
- 10,920
Nadhani hao hata k zao ni ngumu kama ngoko.
[emoji23][emoji23][emoji16][emoji3][emoji3][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kwani bibi ni yupi hapo? wote nawaona wabichi😳😳😳
[emoji23][emoji16][emoji16][emoji3][emoji23][emoji23]Brigedia anatumbo la kupakia kreti moja la safari lager [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] alafu full kujisifia kuwa kagera war alikuwa anacrow umbali mrefu
Jada pinkett smith akiwa na mama yake mzazi Adrienne Banfield-Jones pamoja na bintiye willow smith. .View attachment 876638
Hapana,huyu ni dada yakeKwani Hugo mtoto si ndio alichezaga picha na Jackie chan.?
kumbe ni kamwanamke.Hapana,huyu ni dada yake
Ndio mkuukumbe ni kamwanamke.
ila wamekomaa hao bora nibaki na hawa wala mchemsho wetu.Ndio mkuu
Atakuwa anakachanganya na yule mwenzake Jaden maana hana tofauti na dada ake anajirembulisha kama demu somtym sijui ni kashoga kaleUlijuaga ni kasela mkuu?
HahaaHuku kwetu wanakula magimbi tu, mazoezi hawataki.
That granny looks sexier than my 24 yrs neighbour!