Three generations. ..

Three generations. ..

Brigedia anatumbo la kupakia kreti moja la safari lager [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] alafu full kujisifia kuwa kagera war alikuwa anacrow umbali mrefu
Hahaha sasa mkuu kama alishacraw kitambo acha ale mema ya nchi. Hata kina hayati McCann walivostaafu 'system' walikula mema ya nchi
 
Watu wenyewe wanakula mikate na kachumbari waje wale ugali wa loe na dagaa waone
 
Back
Top Bottom