Three Faces of Love.........

Amavubi

JF-Expert Member
Dec 9, 2010
30,142
13,216
  1. The If Love (ikiwa unamtimizia mahitaji yake hususan pesa hawezi kukuacha but if poverty comes in through the door, love fly out through the window)
  2. Because Love (Kwa sababu unamridhisha hususan kimwili/kingono, na ukichuja ni kama daladala anatafuta mwingine)
  3. Despite of Love (Upendo wa Dhati usiyojali yote hapo juu-comes rain come sunshine)
............which ones are you FALLING IN???

..........men loves for sex and women sex for love.........

Falsafa hiyo hapo juu ndiyo wanayotumia ndugu zetu wa.....almaarufu MAFIGA MATATU.........
 
The 'IF' love. . . maana hata akijipaka masinzi namuona hendisamu maana wallet inafanya kazi yake.
 
ha ha ha ha,
yule bibi wa kijijini kawa 'a romantic girl'
Natafuta maini ya mtu mmoja
niyapikie supu au rost

Yaani Kongosho toka umeweka hio avatar, thread unazopita nashindwa kusoma nakutazama tu wewe..... Dah!
 
hiyo aina ya tatu sidhani kama ina-exist siku hizi - hata zile solemn vows za kwenye nyumba za ibada au bomani zimebaki kama miziki ya bongo fleva tu
 
pesa kidogo, uongo kidogo, mahaba ya dhati ukichanganya hapo ndio unapata mapenzi yetu ya kibongobongo
 
Back
Top Bottom