Threat?: Kim Threatens "Firm Action" Against US Sanctions

Hahah!, Fundi katika anga lako mwenyewe! 😀

Ungejua basi, sie tunawaangalia lakini hamtuoni. Silaha zetu sio za dunia hii...lol
Hahahahaha mikwara sasa hiyo ndio tunayo ikataa mmekuwa mungu hatuwaoni !!!?
Tunawapa tarifa kabisa kuwa ndani ya week mbili tunapunguza moja tunalirusha hewani kama kawaida yetu litaanguka kwenye maji ya Japan kama mnaweza kaa naicho mnacho sema mwanga laser kama kataweza pambana nalo!!
 
Nyie endeleeni tu kuyapunguza, kila siku majaribio hamuoni kama mnayapunguza?!

Halafu kuna rumors kuwa lile ZIGO lenyewe mnayo kama 10 hivi, wakati mawigi anayo kama 8000 hivi...lol! 😀
 
..
Tunawapa tarifa kabisa kuwa ndani ya week mbili tunapunguza moja tunalirusha hewani kama kawaida yetu litaanguka kwenye maji ya Japan..

Mnaweza kurusha lingine kwa hasira kwa kweli sintashangaa..
Naona mmechapwa tena na Sanctions..

UNITED NATIONS -- A proposed new U.N. sanctions resolution would significantly increase economic pressure on North Korea to return to negotiations on its nuclear and missile programs by banning mineral and seafood exports worth over $1 billion -- a third of its total exports last year, a Security Council diplomat said Friday..
 
Eti Russian na China wamewambia wanaunga mkono hivyo vikwanzo mkakubali na mkafurahi tunajribu ili mje sijuwi kwanini hamtaki kuja dah!!
 
Nyie endeleeni tu kuyapunguza, kila siku majaribio hamuoni kama mnayapunguza?!

Halafu kuna rumors kuwa lile ZIGO lenyewe mnayo kama 10 hivi, wakati mawigi anayo kama 8000 hivi...lol! 😀
Store imekuwa ndogo huko baharini ndio maana tuna yapunguza njooni tu yapo machache hamna shidah!!!
 
Eti Russian na China wamewambia wanaunga mkono hivyo vikwanzo mkakubali na mkafurahi tunajribu ili mje sijuwi kwanini hamtaki kuja dah!!

Teh!, hatuji kwanza tunataka kuona jinsi ambavyo hii 3/4 ya exports iliyopungua itawafanza nini kama sio kuomba poo! 😀

Umenikumbusha, I think ni Iwiva alisema Russia na China watakuwa nyuma ya kiduku mpaka mwisho, ona sasa hapa walivyomruka..
 
Hahahaha kwaiyo na wewe pia unahisi hawapo pamoja naye washampa cash ya kutosha na mambo mengine mengi yanaendelea kufanyika huko chini ya maji mtaingia kingi tu!!!
 
Si mpaka wampe!
Halafu huyo Mchina na Mrusi sio na wao wako nyuma ya hii fitna mpya ya Kim?
Ngoja tuanze kuhesabu mpaka boss wako atakapo respond kwa "action" pengine sio muda mrefu.
Na hii Fitna ya sasa sina hakika kama imekaa vizuri hata kwa Mchina pia, cos I think (almost 90%) ya Trade ya NK anafanya na Mchina.
 
Ila yote kwa yote siwalazimishi mchina ana akili kuliko uyo USA !!
Mchina huwa hajaribu hufanya kitu kilicho mshinda mzungu!!!
 
Mkuu tukumbuke pia kuwa Marekani inatoa military support kwa baadhi ya nchi na nchi za Asia zikiwemo, na kama sijakosea hata M Japan anapata msaada huo. Pamoja pia na ulinzi katika hilo eneo, Japan akiwepo na kama tunavyojua South Korea, dhidi ya N. Korea (Dogo Kim na vitisho vyake)
Hivi unafikili wa japani wajinga awawezi kukataa hizo military support kwasababu ndo njia ya kumjua adui yako hivyo vifaa wanavyo pewa wanavipeleka kwenye mahabara za kijeshi kuvichunguza kisha wanaunda vyao vyenye uwezo wa kuvishinda kumbuka USA iliwai kununua ndege za kijeshi za urusi baada ya kugundua zinauwezo kuliko za kwao na kuzipeleka mahabara kuzichunguza walizinunua kwa siri kupitia nchi nyingine hiyo mitambo ya kutungua makombora ya USA inaitajika sana na mataifa yenye uadui na USA ili kuichunguza kumbuka ndege sijui helikopta ya USA iliyo pata ajali wakati wa operation ya kumuua Osama waliilipua ili kuzuia siri za tekinolojia hivyo mjapani ataipokea misaada ya millitary kutoka kwa USA kwa mikona miwili but siyo rafiki wa moyoni na usa
 
Ila yote kwa yote siwalazimishi mchina ana akili kuliko uyo USA !!
Mchina huwa hajaribu hufanya kitu kilicho mshinda mzungu!!!

Sijakuelewa Fundi, kwa hiyo ana siri nyuma ya haya yote?
 
Hivi unafikili wa japani wajinga awawezi kukataa hizo military support kwasababu ndo njia ya kumjua adui yako hivyo vifaa wanavyo pewa wanavipeleka kwenye mahabara za kijeshi kuvichunguza kisha wanaunda vyao vyenye uwezo wa kuvishinda kumbuka USA iliwai kununua ndege za kijeshi za urusi baada ya kugundua zinauwezo kuliko za kwao na kuzipeleka mahabara kuzichunguza walizinunua kwa siri kupitia nchi nyingine hiyo mitambo ya kutungua makombora ya USA inaitajika sana na mataifa yenye uadui na USA ili kuichunguza kumbuka ndege sijui helikopta ya USA iliyo pata ajali wakati wa operation ya kumuua Osama waliilipua ili kuzuia siri za tekinolojia hivyo mjapani ataipokea misaada ya millitary kutoka kwa USA kwa mikona miwili but siyo rafiki wa moyoni na usa

Asante kwa ufafanuzi. Umenikumbusha jinsi hawa watu wasivyokubali kushindwa au kuuza uwezo wao kiurahisi rahisi pale walivyoilipua ile chopper iliyoharibika baada ya mission ya Osama.
Kwa wao kufanya vile, inaonekana chopper ilikuwa one of their latest versions wakati ule.
So mkuu unafikiri wanaweza kweli kutoa msaada wa kisasa ambao unaweza kudukulika?

Umefanya pia nifikirie historia yao katika vita toka Ugomvi na Japan, ukilinganisha na yanayo endelea sasa na Kim.
Military wise, matokeo yake hayatakuwa mazuri sana lakini na pia hii njia ya vikwazo wanayotumia kumdhibiti haina uhakika wa matokeo mazuri.
 
Sijakuelewa Fundi, kwa hiyo ana siri nyuma ya haya yote?
Pia biashara yoyote utakayo fanya na mchina usimuamini wachina ni wakarimu sana sana anaweza kulia akikualika chakula usipoenda kula!!!!
Ila masilahi yake nimuhimu sana kuliko ukarimu wake !!!
Muda wote mchina hujifunza ni jinsi gani anaweza pata masilahi zaidi !!!
Ila labda dunia ipinduke ndio anaweza wasaliti hao north Korea pana masilahi yake kwa upande wa kujilinda!!!
 
Back
Top Bottom