Threat?: Kim Threatens "Firm Action" Against US Sanctions

Nalendwa

JF-Expert Member
Aug 9, 2016
7,467
13,024
170729004445-nk-missile-launch-overlay-tease.jpg

(Kim katamka zoezi la jana ni "grave warning for Washington", kama Marekani wataendelea kuwabana.
Kwa kuwa makombora hayo yanaweza kufikia US Mainland.
Mpango wake wa silaha kasema ni Precious Asset)

On Sunday, North Korea said it will "respond with firm action" if the US continues to pursue sanctions against it, according to KCNA, quoting a foreign ministry spokesman.

"The US needs to stop with its delusion of trying to harm us, by clearly understanding the strategic status of the DPRK which soared up as the world's nuclear and missile power, and our military and peoples' strong will to revenge our enemies to destruction," the spokesman said.

"If the US continues to frantically cling on to the so-called 'strong sanctions' and military adventures against us, we will respond with firm action of justice that we had already made clear," the spokesman added..

B1 bombers fly over Korean Peninsula
170730110215-b-1-bombers-japan-fighter-jet-exlarge-169.jpg

Two U.S. Air Force B-1B Lancers join a Japan Air Self-Defense Force F-2 fighter jet in a show of force after North Korea's latest missile test.

Trump rips China after North Korea missile test - CNNPolitics.com
 
fundi25 kumbe dogo wenu anaumia na vikwazo, analalamikia sanctions hapa mpaka anataka kukinikisha kama Trump ataendela kubana.
Maji yamemfika shingo..
 
Ebu piganeni basi kwa vitendo, War of words inatosha.. Aaaarrgghh
 
fundi25 kumbe dogo wenu anaumia na vikwazo, analalamikia sanctions hapa mpaka anataka kukinikisha kama Trump ataendela kubana.
Maji yamemfika shingo..
Nalendwa
Hapana ni kwamba sasa hivi atafanya biashara na mtu yoyote anaye taka na atakatiza sehemu yoyote kwenye maji au angani hata vumilia vikwazo tena yani yupo huru vikwazo baada ya mafanikio hayo makubwa na yakupongezwa vikwazo kwake vinabaki story ila dah uwoooo moshi mweupe wa hilo dude una ashiria acceleration yake ipo vizuri kweli kweli kufika kokote nimefurahishwa sana kuona huo moshi mweupe ni ishara tosha kwamba likiwa huko angani halina moshi kabisa kwaiyo siyo rahisi kuligundua siyo kazi ndogo kim kafanya adi likafikia hilo dude kuanza na acceleration ya moshi mweupe!!!
Kama kunakitu kinawauiza wa marekani kwenye hilo dude ni kuona huo moshi mweupe !!!
 
Nalendwa
Hapana ni kwamba sasa hivi atafanya biashara na mtu yoyote anaye taka na atakatiza sehemu yoyote kwenye maji au angani hata vumilia vikwazo tena yani yupo huru vikwazo baada mafanikio hayo makubwa na yakupongezwa vikwazo kwake vinabaki story ila dah uwoooo moshi mweupe wa hilo dude una ashiria acceleration yake ipo vizuri kweli kweli kufika kokote nimefurahishwa sana kuona huo moshi mweupe ni ishara tosha kwamba likiwa huko angani halina moshi kabisa kwaiyo siyo rahisi kuligundua siyo kazi ndogo kim kafanya adi likafikia hilo dude kuanza na acceleration ya moshi mweupe!!!
Kama kunakitu kinawauiza wa marekani kwenye hilo dude ni kuona huo moshi mweupe !!!

Vikwazo vitakuwa history tena?
Sasa mbona hapa jana kalalamika kuvihusu mpaka anatishia kuwa akiendelea kubanwa atakinukisha?! yani analazimisha sasa..
Halafu inaonekana amekuwa anakufa na tai shingoni kwa muda ila kapata jeuri ya kuongea sasa baada ya kuona hayo mapipa yake yanaweza kufika mainland US.
Aangalie yasiishie njiani tu...lol
 
Vikwazo vitakuwa history tena?
Sasa mbona hapa jana kalalamika kuvihusu mpaka anatishia kuwa akiendelea kubanwa atakinukisha?! yani analazimisha sasa..
Halafu inaonekana amekuwa anakufa na tai shingoni kwa muda ila kapata jeuri ya kuongea sasa baada ya kuona hayo mapipa yake yanaweza kufika mainland US.
Aanagalie yasiishie njiani tu...lol
Nalendwa.
Dogo ni paka ambaye kwa sasa yupo ndani ya nyumba ya marekani kwa maana hiyo wakijaribu kuzuwia biashara zake atawambia kuwa ata amsha hayo madude na nakuhakikishia hakuna atakaye jaribu wata ziangalia tu kama simba aliye kimbiza swala aka mkosa !!!
Nalendwa hayo madude hayawezi kwama kwa huo moshi mweupe yaliyo toa ni dhahiri kabisa wamefaulu kwa 100%
Yani hapo likipewa muelekeo na kujazwa mafuta linafika bila shida yoyote marekani!
Vikwazo vitakuwa historia kwa sababu dogo ameshakuwa mtu wa ngumi mkononi mwazo alisema ukirusha risasi moja mimi ninarusha dude sasa hivi ameshatangaza ameshapata dawa aliyokuwa ana watafutia wao walikadiria miaka mitano kumbe yupo tiari !!
Nalendwa kiduku yupo vizuri usimkadirie maana hao marekani wenyewe waliamua kurudisha ile mimeli vita yao baada ya kujuwa kuwa huyo dogo hatishiwi na kuhakikishia marekani angebakisha hizo meli zake kati kati bahari ya south Korea leo tungeongea mengine dogo hajaribiwi kama mtukufu wetu akikukosa kwenye targets uhujumu uchumi ata kupima ata mkojo siyo lazima ukamatwe ukivuta bangi au kutumia unga !!
 
USA mjinga sn...kwa sasa anailaumu China kwa kutokusaidia mkabili North Korea.

Jana Fighter Jets za USA, JAPAN & SOUTH KOREA ziliruka hadi South Korea Penisula badala ya kumtwanga moja kwa moja N. Korea!!

Wana muogopa Kim balaa!! Wanarukaruka tu!!

JPM KAMATA WEZI
 
Hahahaha mkuu apo huwa USA anati mashati bila shuruti!!
Huwezi sikia akisema tulikosea tukakatiza kwa bahati mbaya kwenye anga la north Korea maana wanajua kuwa Kim hatawapa tahadhari kuwa wameingia kwenye eneo lake bali ata zidondosha kwa pigo moja tu!!
 
Hahahaha mkuu apo huwa USA anati mashati bila shuruti!!
Huwezi sikia akisema tulikosea tukakatiza kwa nahati mbaya kwenye anga la north Korea maana wanajua kuwa Kim hatawapa tahadhari kuwa wameingia kwenye eneo lake bali ata zidondosha kwa pigo moja tu!!
Kim ni hatari....mzee wa Panki..

Napenda Kim angekuwa timu moja na V. Putin!!

USA angetulia miaka 50 kwanza.

JPM KAMATA WEZI
 
Kim ni hatari....mzee wa Panki..

Napenda Kim angekuwa timu moja na V. Putin!!

USA angetulia miaka 50 kwanza.

JPM KAMATA WEZI
Mkuu hawa ni timu moja pamoja na china apa USA kapakatwa mkuu!!
 
Nalendwa.
Dogo ni paka ambaye kwa sasa yupo ndani ya nyumba ya marekani kwa maana hiyo wakijaribu kuzuwia biashara zake atawambia kuwa ata amsha hayo madude na nakuhakikishia hakuna atakaye jaribu wata ziangalia tu kama simba aliye kimbiza swala aka mkosa !!!
Nalendwa hayo madude hayawezi kwama kwa huo moshi mweupe yaliyo toa ni dhahiri kabisa wamefaulu kwa 100%
Yani hapo likipewa muelekeo na kujazwa mafuta linafika bila shida yoyote marekani!
Vikwazo vitakuwa historia kwa sababu dogo ameshakuwa mtu wa ngumi mkononi mwazo alisema ukirusha risasi moja mimi ninarusha dude sasa hivi ameshatangaza ameshapata dawa aliyokuwa ana watafutia wao walikadiria miaka mitano kumbe yupo tiari !!
Nalendwa kiduku yupo vizuri usimkadirie maana hao marekani wenyewe waliamua kurudisha ile mimeli vita yao baada ya kujuwa kuwa huyo dogo hatishiwi na kuhakikishia marekani angebakisha hizo meli zake kati kati bahari ya south Korea leo tungeongea mengine dogo hajaribiwi kama mtukufu wetu akikukosa kwenye targets uhujumu uchumi ata kupima ata mkojo siyo lazima ukamatwe ukivuta bangi au kutumia unga !!

Hivi Fundi...hapo danger zone sasa! :D

Na huo moshi mweupe mbona upo pia kwenye madude ya Trump?
Halafu hayo madude ya Kim ndio yanafika mbali lakini bado hatujajua kama yanaweza kubeba lile zigo lenyewe..
 
USA mjinga sn...kwa sasa anailaumu China kwa kutokusaidia mkabili North Korea.

Jana Fighter Jets za USA, JAPAN & SOUTH KOREA ziliruka hadi South Korea Penisula badala ya kumtwanga moja kwa moja N. Korea!!

Wana muogopa Kim balaa!! Wanarukaruka tu!!

JPM KAMATA WEZI

Timu kiduku bhana, mnafikiri ni rahisi ki hivyo..

Mie swali langu moja tu, mnasema yuko vizuri lakini mbona hapa analia na vikwazo, mpaka anatishia kama atabanwa zaidi.
 
Hivi Fundi...hapo danger zone sasa! :D

Na huo moshi mweupe mbona upo pia kwenye madude ya Trump?
Halafu hayo madude ya Kim ndio yanafika mbali lakini bado hatujajua kama yanaweza kubeba lile zigo lenyewe..
Hahahaha Nalendwa jamaa ni mchumi kweli kweli anataka hela za kujenga nchi tu akijuwa ulizichukuwa na unazo umekwisha zitatokea tundu lolote......!!
Moshi mweupe unamanisha tiari hilo dude linanguvu ya kupeba mzigo kama punda dume kijana!!!
Nalendwa pia kinachotengenezwa karne hii ni hatari sana haswa na hao watu wenye asili za kiduku maana wao research zote za USA walisha zidukuwa kitambo USA anajua hilo ukweli unauma ndio maana unasikiaga akilalamika hilo dude ni la masafa marefu Urusi ana semaga hapa ni lamasafa mafupi !!!
 
Timu kiduku bhana, mnafikiri ni rahisi ki hivyo..

Mie swali langu moja tu, mnasema yuko vizuri lakini mbona hapa analia na vikwazo, mpaka anatishia kama atabanwa zaidi.
Report ya uchumi dunia inaonesha; uchumi wa N. Korea umeimarika na umekua kwa kasi kubwa ukilinganisha na kabla ya vikwazo. Nadhani 1.7% au 3%.

Tambua hakuna nchi inayo enjoy vikwazo. Ila upuuzi wa USA lazima upingwe!! Ww unadhai hizo Nuclear USA hana? Russia amewekewa vikwazo mara kibao na juzi kawekewa vingine zaidi. Na yy kajibu by Sept 1 wanadiplomasia wa USA 755 wasepe kwao.

Vikwazo vina athiri sn nchi kama Tz, Zimbabwe, nk

JPM KAMATA WEZI
 
North korea amejoin nuclear club kimkakati sana, U.S anachojitahidi kufanya kwa sasa ni detterence maana CHINA hawezi kuwasaidia kumzuia North korea, CHINA wamesema jana kuwa uhusiano wao wa kibiashara na Marekani hauhusiani kwa vyovyote na swala la North korea. DUNIA INABADILIKA KILA SIKU.
 
Hahahaha Nalendwa jamaa ni mchumi kweli kweli anataka hela za kujenga nchi tu akijuwa ulizichukuwa na unazo umekwisha zitatokea tundu lolote......!!
Moshi mweupe unamanisha tiari hilo dude linanguvu ya kupeba mzigo kama punda dume kijana!!!
Nalendwa pia kinachotengenezwa karne hii ni hatari sana haswa na hao watu wenye asili za kiduku maana wao research zote za USA walisha zidukuwa kitambo USA anajua hilo ukweli unauma ndio maana unasikiaga akilalamika hilo dude ni la masafa marefu Urusi ana semaga hapa ni lamasafa mafupi !!!

Tehe!, sawa bwana, tuone atafanya nini akiendelea kubanwa kama anavyodai..
 
North korea amejoin nuclear club kimkakati sana, U.S anachojitahidi kufanya kwa sasa ni detterence maana CHINA hawezi kuwasaidia kumzuia North korea, CHINA wamesema jana kuwa uhusiano wao wa kibiashara na Marekani hauhusiani kwa vyovyote na swala la North korea. DUNIA INABADILIKA KILA SIKU.

Deterrence strategy si ndio wamekuwa wakitumia all along mkuu?
May be it's not effective maana Dogo kama vile hajali na kuendelea kuyakusanya.
 
Back
Top Bottom