Ha[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] nimecheka hakuna mfanoInasikitisha kwa kweli....watu tunakuja mbio kuja kutoa ushauri kwa ajili ya kuwasaidia vijana wetu katika masuala mbali mbali kumbe wao wanatuchora tu na kutuona makatuni......
Kwa kweli hali hii inavunja moyo kama sio kukatishana tamaa........
Watoto waliovamia humu ndani siku za hizi karibuni ndio wanaoendeleza ujinga huu.....wanajua huku kuna watoto wenzao.......
Usipokuwa makini unaweza ukajikuta unamshauri kijana jinsi ya kumgegeda binti yako.....unamfundisha mwanao wa kumzaa jinsi ya kugegeda............
Hiyo picha ni wewe?ili mradi ujumbe ufike na ueleweke
iwe ni funzo , onyo , kuelimisha, au kuchekesha itasaidia wengine
MMU, love connect kiboko msheliMambo mengi uongo sana wanatoa hukoo wanacopy
Without brainsTHAT WE CALL CREATIVITY
hahaaaaa ndioHiyo picha ni wewe?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mkuu umetoa mbavu zanguInasikitisha kwa kweli....watu tunakuja mbio kuja kutoa ushauri kwa ajili ya kuwasaidia vijana wetu katika masuala mbali mbali kumbe wao wanatuchora tu na kutuona makatuni......
Kwa kweli hali hii inavunja moyo kama sio kukatishana tamaa........
Watoto waliovamia humu ndani siku za hizi karibuni ndio wanaoendeleza ujinga huu.....wanajua huku kuna watoto wenzao.......
Usipokuwa makini unaweza ukajikuta unamshauri kijana jinsi ya kumgegeda binti yako.....unamfundisha mwanao wa kumzaa jinsi ya kugegeda............
Kampuni ya simu ni kweli iliuzwa bhana,ni huko Rwanda bhana,mleta mada anaishi Rwanda, na mkewe alikuwa anafanya kampuni inaitwa Rwatel,kama wewe unaishi TZ,wengine wanaishi nchi za nje.Kweli kabisa
Haya nimeuliza tuu...! Hata mimi ni mimi[emoji3] [emoji3] [emoji3]hahaaaaa ndio