Threads 1,000 hazitoshi ku-prove ubaya wa Magufuli bali fact moja tu

Wewe kwanza jifunze tofauti ya "don't know" and "don't no" kabla ya kujitutumua kubishana nami.

Magufuli was a country bumpkin.

Wewe ni nan mpaka watu waone unau-special kubishana nao?
Na heshimu reasoning yako(ambayo kimsingi ni logical reasoning tu japo sio kwa mapana hayo
zaidi ya hapo you have nothing to offer)
lakini sio kwa kiwango cha kuona fahari kubishana na wewe.
You are worth nothing in my life.
 
Ukweli ni kwamba
LiSquare_2021123232118819.jpg

Sent from my TECNO-N2 using JamiiForums mobile app
 
Mkuu hueleweki..., kwahio hizo thread 1000 zikitoka zinakuwa hazina moja, yaani ingekuwepo moja ni sawa ila kuanzia mbili mpaka 1000 zinapunguza makali ya hio moja ? Unaongelea facts kwani hizo zote hazina facts...

Ngoja nikupe facts

Makufuli alikuwa Mtendaji mzuri sana tena sana ila hakuwa kiongozi mzuri..., kazi yake nzuri aliifanya akiwa Waziri, au angepaswa kuwa Waziri Mkuu, Kiongozi anahitaji kusikiliza, anahitaji diplomasia na akubali kukosolewa bila hivyo watu wataogopa kumshauri (The Emperor has no cloths)

Pili Makufuli mara nyingi hakufuata sheria na taratibu mihimili yote mitatu ni kama aliivunja na kuwa yeye Jeshi la mtu mmoja...

Tatu Propaganda zilikuwa nyingi ni vigumu kujua wapi alikuwa anasema ukweli na wapi uongo (hio yote italetwa na transparency)

Nne Nepotism na kuonyesha sifa kwamba ninafanya kitu huku au kule sababu nitazikwa huko ni kuleta precedent mbaya sana ambayo itatucost hapo baadae (mfano anashauri watu wachagua viongozi wa kwao au ukichagua huyu au yule sileti maendeleo) alisahahu yeye ni Kiongozi wa Nchi na sio Chama wala Kabila

Mwisho Kabisa nchi hii haiitaji mtu Imara bali Taasisi Imara..., sababu hata akija malaika tutakuwa tunaongea hayahaya, inabidi tuongozwe na kanuni na sio matakwa au utashi wa mtu....
Makufuli.... umeambiwa alikuwa nani? Eti makufuliii hahaaa,,, kijana bado uko kwa baba naona
 
Na ushahidi wa hio fact hawataupata kwasababu alishachomoa file lake kule mirembe, ata Dialo anajua!
Dialloo ajue kikwete, Mkapa wasijue?
Ina fahamika Magufuli hakuwahi kuwa na mahusiano mazuri na dialo ndio maana
alikuwa akienda mwanza anaenda kusaini kwa mwenyekiti wa jumuiya ya wazazi mkoa ccm badala ya mwenyekiti mkoa.
Bifu lao halijaanza baada ya kifo chake usiimbe kama kasuku waulize wajuvi nin kilitokea.
 
Dialo ni mmoja tu kati ya wengi wenye akili timamu tunaojua, ni ushahidi tu tumekosa 😂😂😂
 
Samia alikuwa wapi kipindi hicho- huo ni unafiki.
Aliyechoma ni Magufuli? Watumishi ndani ya system samia amewafanya nini kama walikengeuka taratibu?

magufuli alikuwa rais bora kuliko marais waliotawala na watakao tawala..
Alikuwa rais bora kwako tu
 
Kumbukeni uraisi ni taasisi kuna vyombo vina act kwa niaba ya raisi na kumpendekeza atekeleze maagizo flani kwa ridhaa yake na mengine si kwa ridhaa yake.

Mkumbuke lissu alikuwa ni kihere here na kujifanya nguli wa sheria huku akitumia neema hio kumletea chaos raisi! Kumuita majina ambayo kimsingi hayapendezi.

Nyerere alikuwa na uwezo wa kuiongoza serikali kama familia na kina sinde warioba walikuwepo kina andrew chenge wakawepo ila hakuna aliyethubutu kumuita Nyerere dikteta ati sababu aliwapangisha foleni ya kununua bidhaa ama kuwapangia watu utaratibu wa kumiliki mali na kuzitaifisha. Ile ilikuwa nidhamu tu ya kibinadamu. Walioleta ujuaji pia kuna ambao yaliwakuta kula stiki hadharani .

Sasa kutumia uhuru wako sio kosa kikatiba ila ukitaka kutumia uhuru wako kuwa kero kwa mwenzio hilo halivumiliki! Lissu alishughulikiwa na mamlaka flani ila hatuwezi connect direct na magufuli sababu hatuna hakika kama alikuwa ni yeye japo kwa hisia za kibinadamu tunaweza hisi ni yeye hali ya moyo kuwa na kisasi.
Hii nidham ilikuwepo zaman,Nyerere angekuwepo sasa angepewa hii nchi ingemshinda
 
Einstein kwenye kitabu chake akiwajibu hundred authors against Einstein anasema "If I was wrong one could be enough" akiwa na maana kama ningekuwa siko sahihi basi mtu mmoja tu angetosha kuni-prove wrong.

Alisema hakutegemea mamia ya watu ili kumprove wrong bali fact moja tu inatosha kumprove wrong na kuonesha makosa yake.

Licha ya threads zaidi ya 1000 kuanzishwa jukwaani hapa lakini bado zimefeli ku-prove ubaya wa Magufuli na kuonyesha
udhalimu na ukatili Magufuli aliofanya kwa uthibitisho.

Kama asemavyo T. Shakur "truth is too plain to see" rivals wake kuanzia upinzani, CCM, bungeni, wanaharakati, mitandao ya kijamii,
hata mataifa ya magharibi bado wamefeli kuprove ubaya wa Magufuli.

Inahitajika thread moja tu yenye facts kuprove ubaya wa Magufuli na sio thread 1000 kama sasa.

Kama kweli Magufuli ni mkosaji basi nilitegemea mtu mmoja tu angetosha kuonyesha ubaya wa Magufuli kwa fact
na sio hearsay.

NB: Tumhukumu Magufuli kwa facts na sio porojo.
Fact ni moja tu kama Sabaya alikua kijakazi wake na katenda hayo vipi Bwana yake
 
Makufuli.... umeambiwa alikuwa nani? Eti makufuliii hahaaa,,, kijana bado uko kwa baba naona
Makufuli alikuwa John Pombe the Padlock Magufuli (kwa kuweka makufuli kwenye Taasisi nyingine na yeye kuendesha nchi kama Taasisi yake Binafsi)
 
Einstein kwenye kitabu chake akiwajibu hundred authors against Einstein anasema "If I was wrong one could be enough" akiwa na maana kama ningekuwa siko sahihi basi mtu mmoja tu angetosha kuni-prove wrong.

Alisema hakutegemea mamia ya watu ili kumprove wrong bali fact moja tu inatosha kumprove wrong na kuonesha makosa yake.

Licha ya threads zaidi ya 1000 kuanzishwa jukwaani hapa lakini bado zimefeli ku-prove ubaya wa Magufuli na kuonyesha
udhalimu na ukatili Magufuli aliofanya kwa uthibitisho.

Kama asemavyo T. Shakur "truth is too plain to see" rivals wake kuanzia upinzani, CCM, bungeni, wanaharakati, mitandao ya kijamii,
hata mataifa ya magharibi bado wamefeli kuprove ubaya wa Magufuli.

Inahitajika thread moja tu yenye facts kuprove ubaya wa Magufuli na sio thread 1000 kama sasa.

Kama kweli Magufuli ni mkosaji basi nilitegemea mtu mmoja tu angetosha kuonyesha ubaya wa Magufuli kwa fact
na sio hearsay.

NB: Tumhukumu Magufuli kwa facts na sio porojo.
Unaweza kuprove mtu kuwa wrong ukihusisha jambo jambo moja moja. Kisayansi ni rahisi sana Einstain alikuwa mwanasayansi.

Kijamii ni vigumu sababu ya different perceptions.

Mfano mtu anasema mtoto akipata mimba asiendelee kusoma mwingine anasema aendelee. Who is wrong, anyway? It is a matter of debate.

Juzi imesemwa kuchoma vifaranga haikuwa sawa laki rais aliyekuwepo hakutamka kitu.

Haya, kuna issue ya mabeberu inayokinzana na wafadhili.

Kama tunafanya tofauti na aliyetangulia tukiamini haikuwa sahihi huko ni kujaribu kuprove kwamba huyo aliyetangulia alikuwa wrong, ni ushidi gani unataka?
 
Pia watu wengi wanajaribu kuprove kuwa that man was wrong ni walio na madaraka kwa matendo yao.
 
Unaweza kuprove mtu kuwa wrong ukihusisha jambo jambo moja moja. Kisayansi ni rahisi sana Einstain alikuwa mwanasayansi.
Kijamii ni vigumu sababu ya different perceptions.
Mfano mtu anasema mtoto akipata mimba asiendelee kusoma mwingine anasema aendelee. Who is wrong, anyway? It is a matter of debate.
Juzi imesemwa kuchoma vifaranga haikuwa sawa laki rais aliyekuwepo hakutamka kitu.
Haya, kuna issue ya mabeberu inayokinzana na wafadhili.
Kama tunafanya tofauti na aliyetangulia tukiamini haikuwa sahihi huko ni kujaribu kuprove kwamba huyo aliyetangulia alikuwa wrong, ni ushidi gani unataka?

Sent from my Nokia 6.1 using JamiiForums mobile app
Hatuongelei kuhusu siasa.

Tunaongelea kama madai yanayohusishwa kufanywa na Magufuli kama kweli Magufuli
alihusika moja kwa moja au la.

Unapesema Magufuli ni fisadi, chizi, jambazi, muuaji hayo ndio tunayoyaombea uthibitisho.
Na si falsaafa za Magufuli.

Ukisoma philosophy of science utaelewa kwanini nimetumia mfano huo.
 
Yupo wapi Chacha Wangwe.
Kichwa maji wewe
Kwa hiyo hao niliowataja wamepotezwa na kuuwawa ili kufidia kifo cha chacha wangwe?
Yaani unahalalisha na kukubali kwamba hao wameuwawa kwakuwa chacha wangwe alikufa.?
Akili ndogo sana hizi duh.
Okey ! Chacha wangwe ameuwa lakini alizokuwa na amezikwa kwai. Hao wengine wamezikwa wapo!?
 
Mbona unang'aka Kubali kwanza mwamba alihusika?
Nimeweka angalizo usijadiili kwa hearsay hata kwenu kama ni tuhuma zipo nyingi weka uthibitisho
Magufuli alihusika vipi na hayo.
Unaposem Kichwa maji ni uwezo wako wa kufkir ndio umeishia hapo(kwa kuwa umekosa hoja) na hainihusu mimi
inakuonyesha wewe jinsi ulivyoishiwa na hoja kama ulikuwa hujui.
 
Back
Top Bottom