So what!!! your problems begins in your head
you have nothing to prove rather than your infinity stu
I can't argue with the homosexualsSo what!!! your problems begins in your head
you have nothing to prove rather than your infinity stupidity.
So what!!! your problems begins in your head
you have nothing to prove rather than your infinity stu
I can't argue with the homosexualsSo what!!! your problems begins in your head
you have nothing to prove rather than your infinity stupidity.
Kampuni yako wewe usingeipa tender mfano ukiwa raisi au mlitaka akae kifala kama Nyerere ili mje kumcheka ana familia ameshindwa kui support tu?Machinga kidogo wafaidi nn?, unajua kwann wanaongezeka Kila siku. Vp kuhusu kampuni yake ya ujenzi aliyokuwa anaipa tenda za ujenzi, haikufata taratibu za rank za board ya maenguneer, napo alikuwa anabana mafisadi
In all your comments i didn't see any argument rather than your stupidity,I can't argue with the homosexuals
Hao watu ni aina ya watu ambao hata kwenye utawala wa sasa wapo tu! Kuna watu wana roho za kishenzi na wananyanyasa wenzao katika utawala huu huu wa samia! Hio haimfanyi samia kuwa raisi wa ajabu na katili!Ukiacha Jaribio la Ki Shetani lililo fail la Kutaka Kumuua Lissu, Watu Kama Sabaya ni Reflection tosha ya Jinsi Mwendakuzimu alivyokuwa Katili, Laghai, Jambazi,Muongo, Muovu na Ibilisi.
Hawa wanafuata midundo ya wanasiasa wanasahau mwanasiasa yuko pale kwa interest zakeHawa mataahira ndio huwa wanasema tatizo letu ni mfumo.
Sasa sijui huo mfumo ndio dude gani? Huo mfumo hauna watu wanaouongoza? Yaani TRA ijiongeze bila kusimamiwa. Polisi pia hivohivo na taasisi zote zijiongoze bila kusimamiwa. Wanadai katiba mpya huku hii iliyopo haifwatwi. Na hata ukiwauliza mapungufu ya katiba hii watakutajia yale yakisiasa tu. Huu sijui ni utaahira gani?
Umeongea vizuri sana yani! Hujamuhukumu ila umetoa angalizo you are very right. Tulitegemea aweze ku act right kwa hizi situations!Lisu kapigwa risasi na hakuna kesi wala uchunguzi, Sugu kafungwa na kuibiwa ubunge ,Ben Saanane, uchaguzi kuibwa nchi nzima, watu kuwekwa ndani kwa tuhuma tuu bila kesi, utekaji na yale mambo ya wasiojulikana na miili kukutwa ikielea baharini etc sisemi ni yeye lakini yote hayo yalitokea akiwa Raisi
kama hearsay hata sisi tunasikia ya chacha wangwe,Ulivyommiminia TL mirisari kibao! Khaaa!
Kwa hiyo akaona aanzishe michakato yake ya Chato na akina Mayanga Construction, Mfugale na Kijazi. Sawa nimekuelewa na CAG Prof Assad alpohoji zilipo Tsh 2.4 Trillion akafurushwa kaziKufa kila mtu anakufa hata wewe utakufa, it costs more kuwa against kundi la wanafiki dhidi ya kuuishi unafiki!
Angeamua kuungana na team ya wana Msoga na kuendelea kuwafanikishia michakato yao ya kuidokoa nchi pengine agalikuwapo mpaka sasa. It costs more to be a sheep in a gang of wolves!
Uko sahihi hata mimi nilitamani hivo...Lisu kapigwa risasi na hakuna kesi wala uchunguzi, Sugu kafungwa na kuibiwa ubunge ,Ben Saanane, uchaguzi kuibwa nchi nzima, watu kuwekwa ndani kwa tuhuma tuu bila kesi, utekaji na yale mambo ya wasiojulikana na miili kukutwa ikielea baharini etc sisemi ni yeye lakini yote hayo yalitokea akiwa Raisi
Kumbukeni uraisi ni taasisi kuna vyombo vina act kwa niaba ya raisi na kumpendekeza atekeleze maagizo flani kwa ridhaa yake na mengine si kwa ridhaa yake.Yeye ndiyo alivyoona kwamba ni msaliti ,labda angeweka wazi hizo meseji na audio clip alizomrecord tukaziona/kusikiliza kama ni usaliti au lah....alimuhukumu kwa mtizamo wake.
Ni kweli alikuwa mshamba..Magufuli was a country bumpkin.
Alipohoji si ilifikia wakati akaulizwa hela imeliwa ama haijaliwa mbona alisema hapana?Kwa hiyo akaona aanzishe michakato yake ya Chato na akina Mayanga Construction, Mfugale na Kijazi. Sawa nimekuelewa na CAG Prof Assad alpohoji zilipo Tsh 2.4 Trillion akafurushwa kazi
Alitufaa sio kidogo, sasa hebu ona tumerudi pale pale kama nchi miradi haitekelezwi watu wako busy kuvutana na kudokoa pesa za serikali😅Ni kweli alikuwa mshamba..
Lakini alikuwa anatufaa kwa wakati huu.
Magufuli possibly he i s the best president of my lifetime.Alitufaa sio kidogo, sasa hebu ona tumerudi pale pale kama nchi miradi haitekelezwi watu wako busy kuvutana na kudokoa pesa za serikali😅
I command this tooMagufuli possibly he i s the best president of my lifetime.
Kuishi wakati wa Magafuli kwangu mimi ni heshima kubwa kabisa kuwahi kuwa nayo.I command this too
Ushahidi usio na shaka; umewekwa mezani na the highest authority! Rarueni mavazi yenu maana kuna ushahidi ulio bora kuzidi huu?Hiyo tu inatosha bado kupoteza watu kibao
Mweleze mwanzisha thread.Punguza mapenzi na wanasiaasa watakuvuruga akili.