Thread ya watu waaminifu kwa wapenzi wao

Thread ya watu waaminifu kwa wapenzi wao

kwamtoro

JF-Expert Member
Joined
Nov 15, 2010
Posts
4,922
Reaction score
3,244
Kwa kipindi hichi, dunia inaishi na watu siyo waaminifu. Kwa asilimia kubwa wanaume kwa wanawake wanakuwa na mipango ya kando. Pamoja na yote naamini kwamba kuna watu kama mimi (sijisifu) ambao wamefanikiwa kuishi kwa uaminifu kwa wapenzi wao. Wameshinda vishawishi na majaribu mbalimbali kutokana na nia yao madhubuti ya kuwa waaminifu.

Binafsi nipo na mke wangu kwa miaka 4 sasa, toka niwe naye sijawai kulala na mwanamke mwingine yeyote mpaka leo. Kipindi mke wangu akiwa just a girlfriend, watu walikuwa wakisema she is cheating on me. Sikujali sababu I have made commitment to stay faithful kwake yeye sababu she special to me. Naamini kuna watu wengi wanaume kwa wanawake both singles & married who’ve stayed faithful to their partners no matter what the world has turned into today.

Kwa hiyo sasa, uzi huu una dedicate kwa wote wanaume kwa wanawake mafaithfulness. Kujumuika pamoja hapa kubadilishana mawazo katika safari yetu ya kubaki waaminifu kwa wapenzi wetu tuwapendao katika maisha yetu.

Karibuni sana


 
Hongera kaka,bora ndugu yangu umeliwaza hilo ukaamua kushare, maana thread zingine bwana ukisoma hata kama unaimani kubwa na partner wako unaweza jiuliza accidentally ivi niko safe kweli ahahahahah!this is encouraging so much, Mungu akuzidishie nguvu na uzidi kuwa mwaminifu and trust me you are on the right track hautajutia and you not missing anything let them fantasize wakati we unajenga kwako.Basi usisahau kutuombea nasi tuwe waaminifu au tuzidi kuwa waaminifu zaidi!!!!
 
Mimi ni mwaminifu kweli kwa mke wangu ila tatizo cjui nitakuwa mwaminifu mpaka lini??

hahahahahaha.kazi iliyo mbele yako ni kubwa zaidi ya uliyo imaliza.
 
Hata mimi mwaminifu sana kwa mke wangu....................................................mpaka pale nitakapomuoa!!!:tongue::love::tongue:
 
mmh mmmh, haya bana but me naamini waaminifu wapo wengi tu
 
Back
Top Bottom