Thread Status: Not open for further replies

Thread Status: Not open for further replies

Retired

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2016
Posts
52,981
Reaction score
104,400
Moderators naomba kujua hii inaletwa na nini kufungia uzi. Kwa nia njema tu! Na nani anaamua hivyo au watu wanaleta maombi. Vigezo gani mnatumia
 
Swali zuri mkuu

Ni kweli baadhi ya mijadala hufungwa ili isiendelee..

Miongoni mwa sababu zinazoweza kupelekea uzi kufungwa ni pamoja na;
Unyeti wa mjadala wenyewe, mada kujadiliwa ndivyo sivyo, mjadala kufikia tamati (mfano kama uzi ulikuwa unaulizia taarifa fulani na jibu lake likapatikana) na kadhalika.

Asante.

JamiiForums
 
Back
Top Bottom