Na wewe kama inakuchosha husiendelee kuifatilia, of course ni kweli mara nyingine kuna thread zinaboa ila hauwezi kuanza kulimit mtu humu, hili ni jukwaa huru as long as wasitoke nje ya maadili... Kwa upande wangu nikiona thread michosho huwa naachana nayo!