Thread maalum ya kuweka Links za michezo za kuangalia Online hususani mpira

1. tumia streamtube, ni app ya youtube live huwa mipira ipo, ina scam nyingi tafuta video zenye likes nyingi. ukifungua app search timu moja inayocheza mfano leo uefa unasearch tu monaco utapata mechi ya spurs na monaco.

2.tvizzle, vlc na iptv player nyengine, hizi zinahitaji uwe na link na link zinapatikana online kabla ya mechi, google tu mechi husika na mbele ongeza neno iptv

3. flash sport, live tv na app nyengine za mpira, hizi unazidownload tu store, flashsport ni nzuri sema unalipia kila mwezi ila ina trial ijaribu.

4. html 5 links tembelea hapa wakati wa mechi zitaekwa
reddit: the front page of the internet

sema zinakuwa na matangazo sana
Shukrani sana mkuu nitaleta mrejesho
 
Kama unataka kuangalia ligi ya italia, ufaransa au ujerumani tumia app ya star times, inaonesha vizuri bila kula sana mb zako. Ila hizo ndo ligi pekee ambazo mechi zake huwa live
 
pc ndio ina njia nyingi kuliko zote. kifupi njia zote za simu unaweza tumia kwenye pc ukitaka mobdro, ukitaka iptv player, kodi, flash, html5, acestream, sopcast etc. we unajua njia gani?[/chief please nisaidie jinsi ya kutumia mobdro tv katika pc natumia window 10
 
Kwa wale wapenda michezo kama mimi napenda kushare namna ya kuangalia mechi online. Hii inasaidia kwa wale wanaoenda umbali mrefu ili kupata kutazama tim zao.

Jinsi ya kufanya ni fungua browser yoyote kweny pc alaf tembelea goatdee.net website iyo itakonyesha link nyingi chagua unayoipenda then enjoy. Mechi moja ya football inaeza cost atleast 500MB.

Skuiz sio lazma kutembea usiku kisa mechi. Champions league final is on its way guys had to share this before the major occasion. Enjoy
0f2f6eba25f4efa0d68a8556abc285e7.jpg
 
Back
Top Bottom