Huyo mshikaji yupo hadi leo?Mshkaji alizinyoosha na mzee, mara akajikwaa tiii chini! Alipigwa vibao vya fasta kabla hajaponyoka. Kasheshe mie sasa fimbo zake huko nyumbani
Huyo mshikaji yupo hadi leo?
mis sanaa ile ya kusindikizwa mtoni.
![]()
So ulitupa jongoo na mti wake? We ni chiboko!Yupo ingawa sijui yuko wapi.