This week in Perspective: Kipindi kinamlenga nani?

waungwana, hivi huyu baba anayeratibu kipindi hicho hapo juu(This week in perspective) audience yake huwa anawalenga akina nani. Hivi majadiliano yale ni kwa faida ya nani, wangapi wanamsikiliza kwa kiingereza. Kinaweza kuwa kipindi kizuri kwa mada zake lakini wangapi wanampata anachokiongea. Sidhani kama outside Tanzania the discussion is of any interest to them!!! I stand to be corrected!!!!!
Mkuu, wewe kiangalie tu hivyo hivyo mbona cinema za kihindi na tamthilia za kichina unaangalia
 
kipindi kinahusu watanzania wote lakini wenye minimum literacy level, meaning kama unaweza kusoma na kuandika kwa lugha ya kiingereza,basi utaweza kufuatilia kinachozungumzwa. Tanzania inabidi itambue we are not living in isolation anymore, kuna watu wa kila aina hapa nchini, kwa kifupi tunatakiwa tuende sawa na mabadiliko, ama sivyo tutaendelea kuburuzwa na magamba ambao wao siku zote mtaji wao mkubwa ni ujinga wa mtanzania.
 
waungwana, hivi huyu baba anayeratibu kipindi hicho hapo juu(This week in perspective) audience yake huwa anawalenga akina nani. Hivi majadiliano yale ni kwa faida ya nani, wangapi wanamsikiliza kwa kiingereza. Kinaweza kuwa kipindi kizuri kwa mada zake lakini wangapi wanampata anachokiongea. Sidhani kama outside Tanzania the discussion is of any interest to them!!! I stand to be corrected!!!!!
Youa are absolutely right...guess what it is happening on national media one that could and should be promoting kiswahili language. Mkuu hiyo ni moja ya makosa ya kiufundi tunayofanya utekelezaji wa mambo mazuri. Looking at the program agendas muandaaji should have known better kwamba audience (swahili speakers)other than studio participants would add more value to the program, after all the few english speakers (Tanzanian) audience also have a very good understanding of Kiswahili...assuming that the programme is meant for Tanzania audience and not some foreign what not.
 
acha kiwe kidhungu tukuze na msamiati. manake tukikutana na wafadhili wa vyandarua tunaweka this and that na kigugumizi kama kile cha kiranja mkuu,lol
 
waungwana, hivi huyu baba anayeratibu kipindi hicho hapo juu(This week in perspective) audience yake huwa anawalenga akina nani. Hivi majadiliano yale ni kwa faida ya nani, wangapi wanamsikiliza kwa kiingereza. Kinaweza kuwa kipindi kizuri kwa mada zake lakini wangapi wanampata anachokiongea. Sidhani kama outside Tanzania the discussion is of any interest to them!!! I stand to be corrected!!!!!

Du hapa naelimu yetu ya shule za kata mbona kazi ipooo
 
Ni kweli hadhira yake ni ndogo sana kama ulivyosema!
Ila jamani tukiendelea kuogopa kiingereza Wakenya na wageni wengine watatumaliza, haswa kwenye soko la ajira.
 
Nani anajua kitu ambacho huwa wanajadili?Kuna wakati huwa wanajadili sana maisha ya watanzania.Wamesahau kuwa watanzania weng hawajui kingereza.Nadhani ni bora wabadili lugha na kuwa kiswahili.
 
It's truuu mkuu haina maana kipindi kuwa katika lugha ya kigeni halafu watazamaji wengi wa Tbc ni waswahili. Haileti kabisa
 
It's truuu mkuu haina maana kipindi kuwa katika lugha ya kigeni halafu watazamaji wengi wa Tbc ni waswahili. Haileti kabisa

Nadhani kama kweli wapo kwa ajili ya maslah ya Taifa bora wabadili lugha.Kwenye kila kaya ya watu 10 wanaojua English ni 2 mpaka 1.Au ni kipindi cha wasomi tu?
 
Nilikuwa naangalia na nikaanzisha thread, imegoma kupanda, jamaa wamemwaga nondo za kufa mtu!

kweli ni nondo.lakini yule kaka na dada yetu mwenye uchungu na maisha kule Uswahilini ameelewa chochote?
 
naomba kipindi hiki kidhaminiwe na Tanzania Konyagi....ukipiga mzinga mmoja wa 500mls mbona utawaelewa tu!
 
kweli ni nondo.lakini yule kaka na dada yetu mwenye uchungu na maisha kule Uswahilini ameelewa chochote?
Tizo, kwa vile ni nondo nzito sana, lazima zishushwe kizungu ili hao wa kijijini, wasielewe, wakielewa sana, watafunguka macho, hivyo kuhatarisha usalama wa taifa letu, wakielewa kama wa Misri na Walibya, wanahatari ya kuja kutugeuzia Tanzania yetu, ya amani na utulivu, igeuke Taharir Squire!. Ili CCM itawale milele, lazima watu wa vijijini wabaki hivyo hivyo walivyo gizani!
 
Tizo, kwa vile ni nondo nzito sana, lazima zishushwe kizungu ili hao wa kijijini, wasielewe, wakielewa sana, watakuja kutugeuzia Tanzania yetu igeuke Taharir Squire!. Ili CCM itawale milele, lazima watu wa vijijini wabaki hivyo hivyo gizani!

dah kweli ndugu.maana kila kinapoanza hicho kipindi nyumba nyingi hubadili Channel...utasikia wanasema "hatuelewi"
 
nilikiangalia kwa makini jana, nadhani laiti kama wangekuwa wanaongea kiswahili watanzania wengi wangyoefaidika zaidi. safu ya jana alikuwapo kitine, lwaitama, sakina na mwingine simjui. wote walitetea maslahi ya watanzania, na walinifurahisha zaidi walipolikosoa bunge katika yaha yafuata
1. Kupitisha sheria ya manunuzi ya vitu used.
2. Kupitisha sheria ya rasimu ya katiba mpya.
3. Kukosekana kwa adabu na ustarabu kwa wabunge wanapokuwepo mjengoni.
Pia walifafanua dhana ya Chadema kutoka nje ya bunge, na kutoshiriki kupitisha muswada wa sheria ya katiba mpya.
Nadhani pia wangeongea kiswahili wangewanufaisha watanzania wengi zaidi.
 
dah kweli ndugu.maana kila kinapoanza hicho kipindi nyumba nyingi hubadili Channel...utasikia wanasema "hatuelewi"
Tizo1, kasumba ya matumizi ya lugha ya Kiingereza imetufikisha pabaya, mikutano yote ya maana, semina, warsha na makongamano, yote huendeshwa kwa Kiingereza.

Juzi juzi nimehudhuria mkutano wa uwekezaji Ziwa Tanganyika uliofanyikia Sumbawanga, waliwahamasisha wakazi wa kanda yote hiyo kujitokeza kwa wingi, watu walijitokeza mamia kwa maelfu, wakawafungia vipaza sauti. Mkutano kuanza, eti unaendeshwa Kiingereza huku ukitangazwa live na TBC!, kisa, eti tumewaalika mabalozi na wawekezaji wakubwa!. Mada karibu zote zimeandikwa Kiingereza!.
 
Back
Top Bottom