My Son drink water
JF-Expert Member
- Nov 30, 2016
- 4,930
- 13,333
Inaonekana wewe siyo mtanzania ndo maana huijui vizuri TBC, ni bora ushinde chooni kuliko kuangalia TBCTBC 1 wana kipindi hiki mara 3 kwa week.
Aisee ni kipindi cha hovyo sana. Ni bora hata wangetumia huo muda kuonyesha Bunge Live.
Kipindi hakieleweki japo naelewa kiingereza vizuri sana.
View attachment 1094040View attachment 1094041
