This One Is For You Baby Doll!

This One Is For You Baby Doll!

That coming from you; the best judge, good mannered, perfect woman, a dream woman, independent, educated and good looking!

You are blessed.
Hayo umesema wewe ila ukweli uko palepale kuwa unavuna ulichopanda, nisingependa mambo yaendelee kuwa jinsi yalivyo ila nimependa kuwa umepata fundisho na ukipata nafasi nyingine utajitahidi kubehave. No one is perfect ila walau inatakiwa tujitahidi kutowaumiza watu kwa makusudi, na mimi kuwa na mapungufu yangu hainizuii mimi kumkosoa mtu kwa kile kibaya anachofanya maana mimi pia huwa nakosolewa na ninakubali kukosolewa na watu ambao hawako perfect
 
Noted and thank you.
 
Back
Top Bottom