Hahahah mimi nafikiri kaukumbatia bhana
Hicho kinaitwa aamka na bbcKwa mfano mtu abaposema cha alfajiri, kwakuwa tayari una majibu yako kichwani utakuja na wrong judgment.... Lakini vya alfajiri viko vingi tofauti na hicho unachokiwaza!
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23] [emoji23] [emoji23] sio Deuch WelleHicho kinaitwa aamka na bbc
Hapana ni amka na bbc sa12 kamili hyo
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Hahahaha
Naona unanikamata kila kona