THIS lIFE IS UNFAIR,WHY ALWAYS ME?

nipo chuo kikuu
 
nipo chuo kikuu nachukua digrii,kaka!
 
Kiruuuuu....ukamwambia u want to marry her????ndo mana unakimbiwa.hebu kwanza 2013-1993=20 endelea kujaribu mdogo wangu
 
ahahhahahha af wewe
ujue bado nna hasira na wewe!!poa tu!
af hii habari ya watoto wa kiume siku hiz kuadopt tabia za mama zao inatoka wapi!
zamani mtoto wa kiume alikuwa ANATAKA KUWA KAMA BABA!
UKIMWAMBIA MWANANGU UMEKUWA MREFU SIKU HIZI ,ye anaitikia KAMA BABA ENH!?
mwanangu kula haraka haraja ,ye ANAITIKIA KAMA BABA ENH?
Asprin, Dark City Kaizer Mtambuzi SnowBall HorsePower na wengine mna kesi ya kujibu!
HIVI SIKU HIZI BADO MNAENDELEA KWA MAROLE MODEL KWA WATOTO WENU WA KIUME JAMANI?
this is scary asee
natishika maana nahofia binti zangu wasije pata waume wanaolia lia mtoto kaumwa mafua ye anapiga simu kwa mamake !mxiiiiiiiiiiiiiiu!
 
unavyoanza kutongoza ndio tatizo .......... hata me sitakuwa tayari unitongoze kwa gia ya i want to marry u..... nitakupa jibu litakuchefua maisha yako yote..........
 
sio kwa gia ya kuoa,bali its true am looking for a girl to marry.

too soon and even if ure looking for that usimwambie demu ivyo wewe............. mke ni another stage ukiingia kichwa kichwa lazima uangukie pua.......
 
aya umemaliza...bt its true i am looking for a girl..help please.
 
too soon and even if ure looking for that usimwambie demu ivyo wewe............. mke ni another stage ukiingia kichwa kichwa lazima uangukie pua.......

poah,nimekupata...naitaji msaada wa hali ya juu coz this is too much why always me?
 
unavyoanza kutongoza ndio tatizo .......... hata me sitakuwa tayari unitongoze kwa gia ya i want to marry u..... nitakupa jibu litakuchefua maisha yako yote..........

naitaji msaada dada,its true am lukin for a girl plz kama u can elp ni pm plz
 
poah,nimekupata...naitaji msaada wa hali ya juu coz this is too much why always me?

because ure not sure what ure looking for........... now look for some one to remove ure virginity then ndo uanze kutafuta mke sawa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…