Pundit
JF-Expert Member
- Feb 4, 2007
- 3,733
- 123
Nilitaka ku point out hilo la mawasiliano tu kwanza, sina maana ya ku divert mjadala.
Wenye uzoefu wanaweza kutuelezea kwa ufasaha zaidi kama wakuu walivyokwishaanza kufanya.
Moja ya suluhishi za matatizo haya ni kuanzisha vyuo vikuu vingi zaidi vya binafsi na umma, ili sio tu kuweza kuwapa nafasi watu wengi zaidi waweze kupata elimu ya juu, bali pia kuweza kujenga vyuo vipya kwa kutumia miundombinu na nyenzo za kisasa.
Elimu pia inaweza kuwa sehemu ya uwekezaji, katika mana ya kifalsafa, kwamba tunmawekeza katika elimu ili itufae baadaye na hata katika maana ya kibiashara kwamba kuna namna ya kuwekeza kifalsafa na kuchuma hapo hapo. Ukiangalia namba za wahitimu wa vyuo vikuu wa nchi jirani tu ya Kenya, ambayo ni ndogo zaidi zinatilisha huruma.
Kwa hiyo pengine tunafanya overkill katika vyuo vyetu vikuu hivi viwili vitatu vya ngama, inabidi tu diversify, kuwe na mashindano, serikali iweke mazingira mazuri ya uwekezaji katika elimu, kuwe na feasible programs za kutosha kuongeza idadi ya wahitimu pamoja na kazi za kutosha kuwachukua wahitimu hao, ambazo zitaongeza uzalishaji zaidi.
Tatizo naona hakuna nia, kama tungekuwa na nia mabilioni yanayoibiwa kila mwaka yangetumiwa katika elimu nabadiliko tungeyaona.