This is too much!

This is too much!

Salamander

JF-Expert Member
Joined
Dec 7, 2012
Posts
28,545
Reaction score
15,781
40495cd4bbf9a0d770112dc06cac4331
 
​Kuna watu hawataki kumiss episodes.
 
Pesa huleta uchizi na kuchanganyikiwa hapo kama ni choo cha hotel uliza kulala siku moja ni sh ngapi
 
Hizi matajiri ndo zao na sijui na uswahilini ishaingea dizaini hiyo maana na safi sana
 
sioni shida yoyote, as long as aliyeiweka amependa iwe hivyo

kila mtu ana kitu anapenda, wengine majungu, wengine TV, wengine ngono, wengine magari, wengine nyumba, wengine ibada nk

as long as anafaidi, basi afaidi
 
Back
Top Bottom