Na mharibifu wa uchumi ni yeye na chama chake kwani Sera zao ndizo zinzotekelezwa kwa sasa! Hata hivyo uchumi wa kuharibiwa uko wapi? Au ni huu unaoendeshwa kwa pesa za bima ya afya?ila uchumi ukiharibika mnamtaja yeye bila kupepesa macho.
mwakinyo anasema tatizo la watz ni ujuaji.
mimi nasema na unafiki pia.