mkorinto
JF-Expert Member
- Jun 11, 2014
- 32,066
- 39,512
mtanzania gani aliyekwambia anahitaji msaada wako!!kama sio wewe mwenyewe.Wewe, vile unafanya kupata mlo siyo kila mtu anapita njia hiyo! Kama wewe upo humu kujaza tumbo ni wewe! Wengine tunaandika kwa hulka tu ya kuwasaidia mbadilike na muache huu ujinga wenu wa kuwabagua watanzania badala ya kuwaunganisha! Mnapenda Sana kusifiwa!
kama unaona hamna haja ya kusifia unapata wapi kuona haja ya kukosoa,simply it a deal,otherway get busy life is too short mr.