You are the devil's advocate.
Some people are so absurd. Trying to look for lame excuses to justify something wrongNimeanza kusoma thread kwa masikitiko ya baadhi ya maoni but when I got to this I burst out laughing...lol!
I can't believe how some of us are trying so hard to come up with all sort of excuses for "keeping our kiswahili culture"
Ni tatizo kweli, watu hawaoni umuhimu wa kujifunza lugha ya kimataifaHata kiswahili chetu kinasema elimu ni bahari. Haina mwisho wala mipaka kwa wenye kiu ya kujifunza, be it a new language or anything else.
Siamini mpaka leo kuna watanzania wenzangu wanakipinga kiingereza, lakini wakati huo huo wanapeleka watoto wao medium english school ( whatever they call them)
Nimeshtuka zaidi kusikia mtu kulipa pesa mpaka kumaliza masters!,
Kumekucha bongo, ndo kwaanza asubuhi na kazi tunayo..
Ni tatizo kweli, watu hawaoni umuhimu wa kujifunza lugha ya kimataifa
Na kiingereza pekee ndo kinaweza toa iyo platformEspecially sasa na hii kasi ya maendeleo.
Ni vizuri watu kuelewa kuwa there will be a time when someone might need to interact with the outside world kwa lugha tofauti au ya Kimataifa.
Kuna watu hawawezi kuona ukweli hata wakiambiwaKwa watu makini leo badala ya kupinga hoja wangesema sasa mkazo uwekwe zaidi ili tuimudu vizuri lugha ya malkia na kisha twende kwenye kifaransa na kichina. Badala yake watu wanaendelea kupinga vitu vya msingi.
Upo nje ya mada kabisaa. Soma mada upya alafu rudi kuchangia tenaMijitu inayo jifanya inajuwa eng kazini ndio majanga kwenye taasis zetu, wanaharibu kaz nakuleta majanga kwenye mashirika. Tunae rais anafanya kaz nzuri ajabu kuliko hata hao wanajuwa Eng. Ifike mahali tujiulize lugha ya taifa ni hipi? Nakwanin tusikae ktk mising yetu. GERMAN,CHINA, RUSSIA hawataki kugha nyingine isipokuwa lugha yao na nchi zao zinamafanikio makubwa sana.
Kwa watu makini leo badala ya kupinga hoja wangesema sasa mkazo uwekwe zaidi ili tuimudu vizuri lugha ya malkia na kisha twende kwenye kifaransa na kichina. Badala yake watu wanaendelea kupinga vitu vya msingi.
After all, there is nothing wrong with borrowing something good from others. That is how life is, we are supposed to live and learn from others who are excelling in various aspectsImagine some countries (African) already jumped on learning 3rd and 4th languages sisi bado tunakumbatia kiswahili halafu, (in all seriousness) tunajiweka at the same level with developed nations wanaotumia lugha mama zao na kujipa moyo kwamba, we will be okay, if they are okay..
Sisemi tuache 'our beloved kiswahili' lakini kama tayari ni mother tongue, I don't see a reason to why we shouldn't try and learn something new and different.
After all, there is nothing wrong with borrowing something good from others. That is how life is, we are supposed to live and learn from others who are excelling in various aspects
Feel free to add anything lad. Because you will be adding something good to the existing stock of knowledge. Knock yourself outYap!, true.
Mkuu niruhusu nichakachue uzi wako kidogo nionyeshe jinsi ambavyo we extra work to do, when it comes to the importance of learning a new language. Apart from our kiswahili.
I was checkin' out this thread yesterday and cracked up so bad on the discussion about the word "PAW"
Family Crush!Diamond Platnumz,Zarithebosslady and Baby Tiffah in Sweden
Yaani, someone was given a meaning of the word, and the source but they still vehemently refused to agree?!, it's sad but I couldn't hold myself...lol!
Mugizi Richard nae alizidi, kha!
Kwenye dictionary kuna maana mbili, kuacha maana ya kwanza kabisa na kukimbilia ya pili sijui ndo nini!
Wait till they put them paws on ya!,....lol!
Sasa Kui, mtu si unatumia neno au maneno kuendana na context?
Kwa context ile, maana ya kwanza isingeleta maana yoyote kwenye nilichokiandika.
Ni kawaida sana kwenye lugha neno moja kuwa na maana zaidi ya moja!
Angalia tu hata neno 'sanifu' kwenye kamusi ya Kiswahili uone lina maana ngapi halafu ujiulize kama maana zote unaweza kuzitumia popote pale.
Ikija kwenye lugha Watanzania tuko nyuma sana aisee. Si Kiswahili si Kiingereza.
Ni majanga kotekote!
Hahaha some people are so dumb. I believe," a wise must avoid to wrestle with a pig in the mud"Acha tu!
It's good to look up something for more than one meaning, and, in different books if possible. Inasaidia sana kuongeza misamiati.
Si mazuri kucheka but I LOL!, so bad yesterday pale aliposema tayari kulikuwa na maana ya kwanza na kwanini ukafata maana ya pili, I was like seriously!
Hili ni tatizo aisee!, naona tuna ka uvivu kutaka kujifunza zaidi.