Panzermeyer
JF-Expert Member
- Jan 21, 2016
- 471
- 325
Kuna umuhimu kwasababu English ndo international language ambayo inatoa forum /platform ya watu kuongea na kuelewana ( bira tofauti zao za lugha kuingilia mazungumzo )Kwani Msomi wa CHINA hahitaji kujua English
Msomi wa FRANCE hahitaji kujua English
Msomi wa Gabon hahitaji kujua English
Why Msomi wa Tanzania lazima ajue English!??
By the way Rais wetu ni Msomi pia Dr. But hajui kuunganisha hizo.
Kuna umuhimu Sana, yaani itakua ajabu mtu umeanza kujifunza lugha tokea primary mpaka chuo, umeitumia almost miaka 12 lakini haujui na unaona kawaida tu. Yaani haiumizi akili yako kuona kwamba kuna tatizo na linahitaji kufanyiwq marekebishounajua mnatuchosha na hivyo vingereza vyenu eeh.??mi ukimlahumu MTU kwa kutojua lugha yake ya asili ntakuelewa Ila hizi lugha nyingine naona kawaida tu...kidogo unachokijua kinatosha kabisa kufanya mambo yako.
Ivi unadhani ugeni aliopata Jana raisi pale ikulu waliongea lugha gani, kiswahili au ki-Vietnam? Suala la kujua umuhimu wa kiingereza na kujifunza halipingiki.Ulimbukeni wa kifikra na makengeza, kuna vitu vingi sana vya kuwashangaa vijana lakini si Kiingereza. Pamoja na umuhimu wake kwenye kukomaza na kuendeleza utumwa mambo leo, kiingereza ni lugha tu kama lugha nyingine.
Kama vijana ni vizuri zaidi kuwekeza kwenye Kujiamini, Kuthubutu na kuvumilia ... Kuweza kuzungumza kiingereza ni kama added advantage tu.
Your ideas are throwback from a bygone era. We are living this moment and that is what the moment detectsMwalimu Nyerere aliwahi kusema kuna watu jambo la kipumbavu kabisa likisemwa kwa kizungu basi watachekelea na kuona la maana sana ila ole lisemwe kwa kiswahili...!
Utumwa na utwana unaendelea..!
Lweni & MunisajoUlimbukeni wa kifikra na makengeza, kuna vitu vingi sana vya kuwashangaa vijana lakini si Kiingereza. Pamoja na umuhimu wake kwenye kukomaza na kuendeleza utumwa mambo leo, kiingereza ni lugha tu kama lugha nyingine.
Kama vijana ni vizuri zaidi kuwekeza kwenye Kujiamini, Kuthubutu na kuvumilia ... Kuweza kuzungumza kiingereza ni kama added advantage tu.
The presence of newspapers like The Guardian, The Citizen and Daily News is a clear indication of how important English is. Just because you deny the truth, it doesn't mean that it loses its weight or its essenceTatizo kubwa letu baadhi ya watz huwa tunaona kujua kuongea Engish ndio msomi sana. Kwani lugha ya taifa ni kiingereza c uliona hata rais wa vietnam alivotafsiriwa akaanza kupiga makofi. Ukiwa unafagilia kiingereza kuliko kiswahili nadhani hunatofauti na ombaomba. Imefika wakati tuwe tunatumia kiswahili hadi kwenye kufundisha ili tuwe na uwezo wa kujikomboa kifikra.
not relataed to the topic,,,our language Kiswahili is never a formal languageKwani Msomi wa CHINA hahitaji kujua English
Msomi wa FRANCE hahitaji kujua English
Msomi wa Gabon hahitaji kujua English
Why Msomi wa Tanzania lazima ajue English!??
By the way Rais wetu ni Msomi pia Dr. But hajui kuunganisha hizo.
Ivi unadhani ugeni aliopata Jana raisi pale ikulu waliongea lugha gani, kiswahili au ki-Vietnam? Suala la kujua umuhimu wa kiingereza na kujifunza halipingiki.
Unadhani sehemu kama kwenye embassies /balozi , mashirika ya kimataufa kama UN, AU, UE nk kwenye international trade nk wanaongea lugha gani?
Ni suala lisilopingika, think again
Sasa kiswahili unachoking'ang'ania kipo wapi hapo?There are six official languages of the UN. These are Arabic, Chinese, English, French, Russian and Spanish. The correct interpretation and translation of these six languages, in both spoken and written form, is very important to the work of the Organization, because this enables clear and concise communication on issues of global importance.
source: Official Languages | United Nations
salute bro!Kuna umuhimu kwasababu English ndo international language ambayo inatoa forum /platform ya watu kuongea na kuelewana ( bira tofauti zao za lugha kuingilia mazungumzo )
Kuhusu suala la raisi kutokujua English, that doesn't justify anything. If someone influential doesn't posses certain good qualities, it doesn't mean that the qualities have lost their influence or place in a peraona life and also it doesn't mean that you should also follow him or be like him. Trust me when I tell you, now that he is the president ( not knowing English ) bothers him quite alot, because he knows he will have to use it no matter what because of the people he is likely to meet with from now on in his life.
There's no joy or pride in being a president who is helped or surrounded by a couple of men to translate for him what the other speaker is saying in an international forum. Trust me, it hurts him
Sasa kiswahili unachoking'ang'ania kipo wapi hapo?
Au umeweka hii attachment bira kuzingatia your position in this conversation?
Ni added advantage ambayo ni muhimu sana. Ila kama nilivyosema hapo mwanzo, haya yoote yanategemea na malengo ya mtu kwenye maisha. Ila ni aibu kwa mtu msomi kupwaya kwenye mazungumzo kwasababu ya kushindwa kuelewa lugha muhimu ya kimataifa.Mkuu, sijakingangania kiswahili popote ... jaribu kusoma yote niliyoyaandika but pia sikubaliani kukipa Kiingereza heshima uliyokiwa kiasi kwamba ukadharau Vijana, msimamo wangu ni kuwa Kiingereza ni added advantage tu na unaweza kufanikiwa sana bila hata kujua kiingereza.
Nilicho post hapo juu ni kukukumbusha kuwa Kiingereza si kila kitu kwenye taasisi ulizozitaja kama UN ... ambapo lugha 6 ndi maalumu.
Hicho kiingereza unachokitukuza kimewasaidia kiasi gani wajinga na maskini lukuki waliojaa Amerika na Ulaya?!