Albinoomweusi
JF-Expert Member
- Oct 28, 2016
- 3,485
- 8,667
Kwanza kabisa niwapongeze viongozi makocha na shukraaani za dhati kabisa ziwaendee wachezaji wote wa Simba sc
Pili Viongozi Tutengenezeeni sticka rasmi za magari nk zenye maandishi THIS IS SIMBA ili tuichangie klabu yetu
Tatu hebu viongozi ongeeni na mitandao ya simu muanzishe Namba ya malipo Tukio kama la leo la furaha tuwadoshee shukrani zetu japo wapate sodA
Mwisho kabisa niwape pole waarabu weusi na bila shaka sasa mnahamia kongo
Sent using Jamii Forums mobile app