This is Rostam I know... The Story Behind the Man

Alivyoandika dikteta
"Rostam alizaliwa hospital ya mission ilioko kijiji cha mwamalwa,mpaka masista watu waliomuhudumia mama yake bado wako hapo hai,katika tarafa ya Bukene wilaya ya Nzega akiwa mtoto wa kwanza wa marehemu Aziz.Aidha babu yake na bibi yake walizkwa wilaya ya Bukene walikokuwa wakiihi tokea ujana wao,Babu yake Rostam alikuwa mtanzania wa kwanza kununua gari aina ya fiat mwaka 1954....Alisoma shule ya msingi Mwamalwa ambapo mwaka 1969 aliomgoza mkoa wa tabora kwa kufaulu darasa la saba.alipata maksi 148 kati ya 150".

Hapa mimi nachanganyikiwa, huo mwaka 1969 si ndo aliozaliwa??? iweje tena mwaka huohuo amalize darasa la saba????????????

Daima njia ya mwongo ni fupi.

Mimi narudia kutoa wito kwa watanzania wote yeyote aliye soma na Rostamu Aziz popote pale atumwagie hapa!.
Atueleze shule/chuo walicho kuwa mwaka na hata mkuu wa shule/chuo. Hii itaondoa mzizi wote.
Please wana jamii leteni nondo.
 
Mkandara,
Kuhusu lafudhi si hoja. Siku moja nilikwenda Japan na pale nyumbani kwa marehemu Palangyo walikuja Wajapani watano ambao walifanya kazi Tanzania. Ungesikia wanazungumza Kiswahili kwa lafudhi nzuri usingeamini ni Wajapani. Rostum anaweza kuwa jasusi wa Iraq aliyetumwa kwa malengo kadhaa ( I am stretching here) Tanzania. Kwa hiyo lafudhi si hoja.
Mkuu Jasusi, Isijeikawa ni yale mambo ya Uranium? huyu ni wa kuogopa sana
 
Unajua at the same time... naamini kuna mtu mmoja tunammiss katikahili la EPA, sijui ni nani... it is like a missing link

MM,

Mi naamini tunammiss Dr. Balali sana tu........hasa kipindi hiki!

PW ......Karibu sana jamvini.....maake umetinga jamvini ki JF JF........!
 
- .....- Kule CC muungwana kamtema tena wazi, huku Public ndio kabisaa aibuu kwa mtumzima, Takukuru hao ni watu wa rushwa sio ufisadi, sasa ana njia moja tu ya kujisafisha nayo ni kupambana na Mzee Mengi face to face mahakamani, huku wananchi tukimsubiri kwa hamu kubwa sana huyu genius!...
mzee wa sauti za radi,
mie nalidhani fisadi ni mwishiwa wa akili, kumbe ktk mafisadi kuna majiniasi?
Ila kiukwelii jamaa kakanyaga nyenze na atakoma kwa gundu lake.

Ila kuhusu kumwagwa kwenye CC hiyo sijaipata vyema naomba nidokezee ilikuwaje huko?
 
Swala la kwamba ana uraia wa nchi nyingine is another topic, But Kaziliwa Tabora , Kakulia Tabora anongea kinyamwezi na Ni mtanzaniawatanzania , Kama ana passport mbili zingine , we can even start there, Kuna wengi sana ambao wana passport zaidi ya moja which is against the country Law.

Kama unaushaihidi unasubiri nini kuwaambia Immigration wakamkamate? Pili ninakumbuka ule mjadala wa balali watu mlisema ana uraia wa marekani lakini ubalozi wa marekani ukakanusha na kusema kuwa alikuwa na diplomatic passport kutoka Tanzania ambayo baadae ilkuwa revocked.

Mwisho you can present your point without beig disrepective , Heshima hainunuliwi. Inabidi ujifunze ustaarabu

Mkuu LeoKweli

Kuzaliwa, kukulia na kuongea lugha ya wakazi au ya eneo ambalo umezaliwa na wazazi wahamiaji toka nchi ya kigeni (Kama unavyoamini kwamba hakuhamia at the age of 22 bali alizaliwa) hakuhalalishi uraia wa eneo/nchi hiyo! Hapa LeoKweli hujatwambia kitu.

Huwa ninaumizwa na wimbo Kama unaushaihidi unasubiri nini kuwaambia ........wakamkamate? Ni wimbo unaoimbwa hata watawala kana kwamba walipewa mamlaka kushangilia maovu na kusubiri raia wawapelekee ushahidi waufanyie kazi au waupeleke mahakamani!. UwT,Takukuru,Polisi, Chama tawala hata Mkuu wa nchi wimbo ni huo hata kwa yale ambayo wao tayari wana ushahidi. Lo! Wao wanalipwa kwa lipi? Si ni vyema wakaachia ofisi?

Jamani si wao waliopewa jukumu la kufuatilia tuhuma na kupata ukweli? Aliyetoa madai ya uraia wa Canada na Iran yeye amemaliza, sasa Immigration najua wako humu wawasiliane na wenzao wa canada,mambo ya nje na UwT kuthibitisha hayo. Watathibitisha hayo, Ni kweli.
 
- Again mkuu acha personalizations, ya aibu hayatakiwi kuwepo hapa kwa sababu hata wewe unapaswa kuona aibu kushupalia a none ishu, Rostam ndiye king wa ufisadi na ndiye masteminder wa all the ugly games, maana usiniambie kwamba ni Lowassa, Mkapa, Maregesi na Balali ndio waliomuajiri Msekwa Vodacom? No aliajiriwa na Rostam!

- Halafu huwezi kusema kwamba Mkapa, Lowassa, na Maregesi ndio waliomuajri Ruhinda Vodacom? Aliajiriwa na Rostam on his own!
- Katika mkutano wake wa mwisho na waandishi wa habari bongo, Balali, alisema kuna wanaojaribu kumbebesha mzigo peke yake, ingawa wapo wengi walioshiriki, mara moja ikafahamiika kwamba Mama Meghji alishiriki, ingawa alijtetea sana rais aliishia kumtosa uwaziri, kwa hiyo ni kweli kwamba Balali aliidhinisha wezi wengi kushiriki, ninaikubali hii hoja kwa 100% kwamba ni ukweli!

Respect.

FMES!

Asante kwa hoja zako nzuri. Bila shaka hapo keyboard iliteleza ulitaka kuandika Idris Rashid.
 
Samahani shangazi: Hivi RA kuwa na Uraia wa Iran na Canada kunamwondolea "unyamwezi" wake kama alivyosema Leokweli? Ninvyoelewa mimi Uraia na Kabila ni vitu viwili tofauti! Hata hapa jamvini tuna wanyamwezi wa Tanzania na wengine wa UK nk
 

There is no one dragging for tribalism sentiment s here, but based on the political calculations this is the fact on what has happened in the past and what is continuing to happen.
Tunahitaji tuseme ukweli wa mambo ambayo yanatugawanya katika vita hii ya aufisadi, Kukuhakikishia this is a big polical weapon that dragging us to hell ninajua hutaki kuamini but this is the truth.
Why did Mkapa ordered the money to be given to Rostam? The Main answer is that he was strategically well positioned in Lake Zone right? Why Rostam?

Secondly, You said Mpaka called Ballali to ask him to Give RA money to elect Kikwete, that means the Operations to steal money from BOT was planned and initiated by CCM Chairman for the Benefit of CCM? Which means RA was just an implementer

Third MENGI and RA they are in same shoes they are both Mafisadis , Mengi through ITV he was a benefitery of EPA money, not only that Mengi kwa kupitia ITV he missleaded all Tanzania on how Good CCM was in returns he has access to all guarantees and loans na ndio maana MENGI anamwita RA fisadi na sio CCM because he still love CCM and what it does to him personally .

Mwisho ninacho wapinga mwanakijiji na wengine kama wewe kwenye Hii forums ni kule kusema kwamba RA ndie FISADI peke yake na mnaitoa CCM kwenye Discussion .
Maelezo yako yanijitosheleza kwamba Mkapa kwa niaba ya CCM alimwambia Balali Atoe pesa BOT,ampe RA . Which Proves to me that CCM ndio walioiba pesa za EPA, kwahiyo tunapo mpa nguvu mtu mmoja na tunasahau mmliki na mwanzailishi wa huu wizi wa epa, tunakuwa hatujawa Objective

Iliamriwa apewe pesa za EPA kwa sababu ambayo mchangiaji mmoja ameshatupa. Alikuwa Mwekahazina wa CCM.

Aliyeiba si RA bali ni CCM? RA ni sehemu ya CCM au ninaelewa vinginevyo.
 
Mkuu Jasusi, Isijeikawa ni yale mambo ya Uranium? huyu ni wa kuogopa sana

Chakaza, umegusa pabaya sana. RA+Baghadad+Iran/Iraq/Mulla kuna serious link.... anzisha thread yake kuna mambo mazito na hakuna wa kuwagusa. Take it from me, hata nyumba ya ubalozi wa Iraq nani aliichukua na kwanini? ........
 
kwa bahati nzuri nimepata kufika oxford mara nyingi na nimekutaNA na students and alumni na wote wana tabia moja lazima wakufahamishe kama wao wamesoma OXFORD, hata kwenye CV zao lazima wataje University waliyosomea Oxrord na RA hana hii tabia, pili hana confidence katika kuongea na hii ni tofauti sana na wanafunzi wa oxford.
OXFORD NI BRAND NAME NA RA ANGETAMBA NAYO SANA
mjj hiyo link ya google ya RA ana degree ya economics from oxford ni ya utata kwa ajaili nyingine inasema "journalism degree from Oxford University but ...
 
Chakaza, umegusa pabaya sana. RA+Baghadad+Iran/Iraq/Mulla kuna serious link.... anzisha thread yake kuna mambo mazito na hakuna wa kuwagusa. Take it from me, hata nyumba ya ubalozi wa Iraq nani aliichukua na kwanini? ........


Naanza kuona mwanzo wa mwisho!
 
Dar es Salaam, Tanzania (PANA) -

Tanzania's controversial opposition leader, the Reverend Christopher Mtikila alleged Friday that ruling Chama cha Mapinduzi (CCM) presidential candidate Jakaya Kikwete had used funds from Iran to defeat his opponents at the party's recent convention.

The Chairman of the Democratic Party claimed at a press conference that the Iranian government through Tanzanian MP Rostam Aziz, had funded Kikwete's campaign for over 10 years.

The press conference was held ahead of a meeting by eight opposition parties to plan a common strategy against the CCM in Tanzania's October elections.

Mtikila alleged that the Iranian government had set aside a substantial amount to prop presidential candidates in countries where the Asian country has economic interests.

Aziz, a Tanzanian of Iranian extraction is representing Igunga constituency in Tanzania's Union Parliament on the platform of the CCM.

Mtikila did not say how much Aziz had allegedly received from the Iranian government for Kikwete's presidential campaign, but cited Tanzania's uranium deposit as possible motivation for the alleged assistance.

He said the Iranian government could not have given Aziz money for nothing: "they must be harbouring interests in Tanzania."

This is the second time that Aziz, Kikwete's campaign manager, would be accused of securing foreign funds for Kikwete's presidential campaign.

Last April, London-based journal, Africa Confidential claimed that he had been given two million US dollars by the Oman government as campaign funds for Kikwete.

Kikwete, Tanzania's Foreign Affairs and International Co-operation Minister had vowed to sue the journal over the report, but since his nomination as CCM presidential candidate in May, he has said nothing about the report.

The London journal has challenged him to go to court insisting it has overwhelming evidence to back its claims.

There was no immediate reaction to Mtikila's allegations from either Aziz or Kikwete.

Source: http://www.panapress.com/freenews.asp?code=eng093363&dte=16/09/2005
 
Do you remember the history of Tiputipu during the slave tradE??????? He was a notorious slave trader and am seing similarities here with this guy. Prince William may Godbless you and give us some more what you are saying is true. Can l ask you a question do you think Balali died or they just gave him a million dollar plastic surgery?????. How about the wife and the watergate appartment which money did they use to buy that place and the one in Pawtomac cash two million. Please give us the news you seem to have been in the inside. I was at the fineral why was it a closed casket who was in there???????
 
Kuna mtu ameniambia alienda Eaton jamani kama ni kweli anavyopenda sifa angesema hivyo naomba muangalie Oxford mchunguze kwanini aweke Oxford bila Eaton. I hope we all know what Eaton is all about lets do our home work. Find the data this could like the Iranian Minister how resined for the OXFORD LONDON DEGREE.
 
Wizi mtupu
enzi za mwalimu watu kama hawa ni kuwanyanganya passport na mali zao zote na kuwarudisha uko wanakoita ni kijijini kwao, tunachapa bakora mbele ya umati wa watu alafu tunamkabizi kwa mwenyekiti wa kijiji haruhusiwi kutoka kijijini mpaka kwa ruhusa ya mwenyekiti wa kijiji.
 
Tatizo linalitaka kujengeka ni kuwa, kuna kikundi cha watu ambacho wanataka na wanaamini kuwa kuwa wao peke yao ndio wenye uwezo wa kujua mambo, kuchambua na kuhitimisha wakati huo huo wakitaka hitimisho lao lazima likubaliwe na jamii nzima, ukihoji wanajibu we una maslahi na fulani.

Asiye fanya kazi kwa maslahi ni nani? RA ni mzaliwa wa kijiji cha Mwisi-Igunga, na amekuwa Igunga for so long hadi kupata hizo nafasi alizo nazo na alizopata kushika.

Tukubali kutofautiana kimawazo ndio dalili za mandeleo
 
Rostam Vs Mengi: Tribalism?

Yesterday (Wednesday) I was shocked when one of the great thinkers claimed that the ongoing clashes between Mengi Reginald and Rostam Aziz and his partners is tirbal fight involving Chagas and Lake Zone (Sukuma and Nyamwezi tribes).

That Lake Zone will always rally behind Rostam at any cost because he is their true son. This is funny and bullshit. God forbid, I am from Lake Zone regions and so does Mwanakijiji, we are not ready to support anybody under the grounds of tribalism. We are not ready to be dragged in the tribal sentiments by those who benefited from the looted billions.

By the way who is Rostam? He is mercenary who came to this country from Iran at the age of 22 to visit his uncle who was trading on buying and exporting hides. He stayed there in Igunga, learnt the local language including swahili as well as politics, before officially jumping into the bandwagon of parliament in 1994 after the death of Charles Kabeho.

Having inherited his uncle's business, Rostam rose as a trader trading in hides (Ngozi) before forming a road construction company called Capsian which he used to conduct shoddy business, and earned billions. This company failed to deliver according to the agreed standards in Mafia, Mwanza, Dar es Salaam, forcing Magufuli who was by then minister for works to suspend payments worth billions. That's why soon after Kikwete won the election, while Rostam and Lowassa acquired Habari Corporation, Muhingo Rweyemamu was given a special assignment to deal with the so called corrupt deals in government owned houses.

If you guys remember, Rai newspaper serialised damning articles about Magufuli in a calculated bid aimed at politically victimising him as well as reducing his popularity which was a threat to a much hurried man-Lowassa. But the funny thing is that while Rai was busy attacking Magufuli, Mr. Muhingo didn't bother to ask his boss (Rostam) how did he acquire his home in Dar while he wasn't the government's worker or civil servant.

If Mengi is misusing his media, please would you tell who is the media owner in this country who has not used his media for his personal interests? Toni Diallo? The Late Nyaulawa? Prince Aghakhan? Rostam? Tanil Somaiya? Subhash Patel? No one.

EPA

I have carefully read the last words written by Dr. Ballali before he died in US last year and my conclusion is very simple: Rostam is a shark through Kagoda. He pocketed Sh40billion using CCM campaign as a front or a shield.

"Rais Mkapa akaniita pale Ikulu akaniambia Kampe Rostam pesa ili Malaika aweze kushinda uchaguzi... Nikajibu kwamba pale benki kuu hakuna fedha labda zile za account ya madeni lakini itabidi wafuate utaratibu" DR. Ballali.

"Nikakaa na Rostam nikampa utaratibu na kumtambulisha kwa ndugu Maregesi ili amsaidie kusajili kampuni ya Kagoda... Kwa kuhofia bomu kulipuka nikashauri waingizwe na wengine wengi kwa masharti ya kuchangia Chama asilimia 40 ya malipo... Lengo lilikuwa ni kufanya ionekane kama serikali kwa wakati huo iliamua kulipa madeni." Dr. Ballali.

Now this is just the version of the dossier by Dr. Ballali where he strongly revealed how Rostam swindled the billions. The party was given only Sh10billion.

In conducting all bank transactions, Rostam used his personal secretary Tabu Abdulah as a cover-up. There's all evidence.

I am ending here but very soon I will reveal all things about Rostam.
PW,

Nimekunukuu kila ulichoandika kukupa credit zaidi, karibu JF!

Kuna vitu vinanichanganya kidogo:-

Gazeti la Sauti Huru ambalo mmiliki wake ni Subash Patel limekuwa likigawiwa BURE kwa kila anayenunua nakala ya RAI huko Karagwe mkoani Kagera, what's a secret behind? (Ikumbukwe kuwa, magazeti mengi hayafiki remote areas kama Karagwe)

Gazeti la Tanzania Daima (nasikia jana na leo) kwa nakala zilizosambazwa huko maeneo ya Busanda kurasa zake za ndani zimechomolewa, what might be secret behind this?

Rostam:

Katika hali ambayo imenishangaza (huenda na wengine mkashangaa) Rostam hakusaini kokote katika ule waraka alioutoa (aliousoma) Kempinski (Hii inaweza kuwa ni katika kukwepa traces za aina yoyote?). Hata nakala zilizosambazwa kwenda PCCB hakutia sahihi tamko lake lile!

Anyway, bado nawaza tu!
 
PW,

Nimekunukuu kila ulichoandika kukupa credit zaidi, karibu JF!

Kuna vitu vinanichanganya kidogo:-

Gazeti la Sauti Huru ambalo mmiliki wake ni Subash Patel limekuwa likigawiwa BURE kwa kila anayenunua nakala ya RAI huko Karagwe mkoani Kagera, what's a secret behind? (Ikumbukwe kuwa, magazeti mengi hayafiki remote areas kama Karagwe)

Gazeti la Tanzania Daima (nasikia jana na leo) kwa nakala zilizosambazwa huko maeneo ya Busanda kurasa zake za ndani zimechomolewa, what might be secret behind this?

Rostam:

Katika hali ambayo imenishangaza (huenda na wengine mkashangaa) Rostam hakusaini kokote katika ule waraka alioutoa (aliousoma) Kempinski (Hii inaweza kuwa ni katika kukwepa traces za aina yoyote?). Hata nakala zilizosambazwa kwenda PCCB hakutia sahihi tamko lake lile!

Anyway, bado nawaza tu!

... Sahihi yake ni INVISIBLE!
 
PW,

Nimekunukuu kila ulichoandika kukupa credit zaidi, karibu JF!

Kuna vitu vinanichanganya kidogo:-

Gazeti la Sauti Huru ambalo mmiliki wake ni Subash Patel limekuwa likigawiwa BURE kwa kila anayenunua nakala ya RAI huko Karagwe mkoani Kagera, what's a secret behind? (Ikumbukwe kuwa, magazeti mengi hayafiki remote areas kama Karagwe)

Gazeti la Tanzania Daima (nasikia jana na leo) kwa nakala zilizosambazwa huko maeneo ya Busanda kurasa zake za ndani zimechomolewa, what might be secret behind this?

Rostam:

Katika hali ambayo imenishangaza (huenda na wengine mkashangaa) Rostam hakusaini kokote katika ule waraka alioutoa (aliousoma) Kempinski (Hii inaweza kuwa ni katika kukwepa traces za aina yoyote?). Hata nakala zilizosambazwa kwenda PCCB hakutia sahihi tamko lake lile!

Anyway, bado nawaza tu!

Mkuu, status ya Fisadi papa Rosamu Azizi ina maswali mengi kuliko majibu. Amekaa kigaidi gaidi sana, kila anapo pita anahakikisha haachi nyayo zake! hata biashara zake zote.. something is wrong somewhere, nahofia asije akaripua ka nchi ketu bure yaani yuko kimafya mno!

But thanks God, siku hizi technologia walau ambayo inakamata picha na video ndo hivyo tu vinaweza saidia, vinginevyo hakawii kuruka kimanga kila alilo lifanya!
 
Last edited:
Back
Top Bottom