And it has never been ay better than it is today; 2024; under the regime of Samia Suluhu Hassanpeople wataona hela yake ni ya muda atageukwa na siri yake ambayo inajulikana hadi TISS itafunuliwa.. hapo ndipo watakapojua watu he has been the biggest con artist to enter the Tanzania political stage...
Ni mzawa na ana haki zote!.Jamaa anajinasibu kama muwekezaji mzawa,
Sijui kama munanielewa .
Anataka haki ya kumiliki ardhi kikamilifu Yan
Ni kweli kabisa 😂 anahaki kwa mujibu ya makaratasi ya jalalaniNi mzawa na ana haki zote!.
P
And nothing will get better with this regime full of mediocre leaders from the top.And it has never been ay better than it is today; 2024; under the regime of Samia Suluhu Hassan
Kuna watu humu wamecheza nae utotoni, kuna watu humu wamesoma nae primary na sekondari, hivyo huyu ni Mtanzania mwenzetu, ila yuko vizuri, well connected, na amekisaidia sana chama, amemsaidia sana JK, wakati wa JPM, alihama nchi baadae akarudi bigger and stronger, sasa anamsaidia sana Mama.But Kaziliwa Tabora , Kakulia Tabora anongea kinyamwezi na Ni Mtanzania,
Okay Asante kwa ushadi wako , tutautumia kwenye mahakama ya ICC, kwamba ayatollah ndio mfadhili mkuu wa vifo, vurugu kwenye chaguzi kuanzia 1995.Kuna watu humu wamecheza nae utotoni, kuna watu humu wamesoma nae primary na sekondari, hivyo huyu ni Mtanzania mwenzetu, ila yuko vizuri, well connected, na amekisaidia sana chama, amemsaidia sana JK, wakati wa JPM, alihama nchi baadae akarudi bigger and stronger, sasa anamsaidia sana Mama.
P