This is Rostam I know... The Story Behind the Man

kizungu kigumu kimesababisha post hii isichangiwe sana. Aliyetuma angejaribu kuweka tafsiri fupi ya ujumbe wake.
 
Safi sana uwezo tunao, fanyia kazi post yako ni nzuri lakini inahitajika kueleweka na watu wengi. Naamini utapata thnks nyingi kwa kazi hii.
 


tafsiri hii kitu kama huwezi sema tukusaidie wengi humu hawaelewi kitu
 
Safi sana uwezo tunao, fanyia kazi post yako ni nzuri lakini inahitajika kueleweka na watu wengi. Naamini utapata thnks nyingi kwa kazi hii.

Ndio kitu gani hicho?????????????????????????????????????
 
RA ndo kamuweka yule mwanasheria wake wa zamani vodacom(Ngeleja) pale nishati na madini amlindie maslahi yake ya Caspian kule migodini,amfunikie kasfha za richmond na kumzawadia dubwana Dowans

RA ndo kamuweka Salva ikulu ili azuie habari nyeti zisiwafikie wanaharakati na ndio kamtumia kununua habari corp(Rai,The Express na Mtanzania)ili itumike kuzima cheche za mageuzi.

RA ndio kamuweka Anne Makinda pale mjengoni ili Sita asimuumbue zaidi(wanatoka tabora wote hawa wanajuana)

RA ndo alichukua 40 kwa jina la kagoda na BWM kumuweka JK madarakani na hadi leo kagoda inapeta.ilhali Liyumba anasota jela

Sasa JK anafanya nini? kwa mtazamo wangu ni mshika kibendera tu!!!

Wadau mnaonaje ukweli huu?kikulacho ki nguoni mwako
 
Sure huyo ni RA je angekuwepo pacha EL kwa pamoja RAEL
 
ndio unajua leo?? inteligensia ya iran chini ya RA ndio inaendesha hii nchi tangu mwalimu afe
 
yani ww acha tu kwanza rostam aziz angekuwa muhindi mweusi yani mgowa angekuwa ameshapewa kiti cha uraisi kwa sababu wangesema ni muhindi koko aliyezaliwa na muafrika ila mama muhindi au baba muhindi
 
yani ww acha tu kwanza rostam aziz angekuwa muhindi mweusi yani mgowa angekuwa ameshapewa kiti cha uraisi kwa sababu wangesema ni muhindi koko aliyezaliwa na muafrika ila mama muhindi au baba muhindi

Lol! wangesema baba ni msukuma pyua wa Bariadi! haki ya nani tunatawaliwa na Wahindi!!!!!
 
Ili kuondokana huu utawala wa kishenzi, 2015 tufanye kweli sasa tutawale nchi yetu wenyewe, kwa kumuweka Dr. Slaa na CHADEMA madarakani.

Mungu ibariki Africa
Wabariki viongozi wake
Hekima umoja na Amani
Hizi ni ngao zetu,
Africa na watu wake
Ibariki Africa Ibariki Africa
Tubariki watoto wa Africa.

Mungu ibariki CHADEMA
Dumisha Uhuru na Maandamano
Ibariki CHADEMA Ibariki CHADEMA
Tubariki CHADEMA na watu wake.
Amen
 
Lol! wangesema baba ni msukuma pyua wa Bariadi! haki ya nani tunatawaliwa na Wahindi!!!!!

RA is from Iran. Demographic ya Iranians ni Persians (51%), Azerbaijanis (24%), Gilaki and Mazandarani (8%), Kurds (7%), Arabs (3%), Baluchi (2%), Lurs (2%), Turkmens (2%),.

Huyu jamaa sio mhindi.
 

Kweli kabisa haina ubishi ndio huyo ndio mpiga firimbi, RA pia ndie aliyemteua Hoseah wa TAKUKURU
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…