<br />umenikumbusha joke ya vijana waliopata desa waka-solve usiku kucha wakiamini ndo paper yenyewe. kuingia kwenye mtihani wanakuta ngoma sio.wakatoka wakiambia wasimamizi 'mmekosea bana,paper sio hii!!'
umenikumbusha joke ya vijana waliopata desa waka-solve usiku kucha wakiamini ndo paper yenyewe. kuingia kwenye mtihani wanakuta ngoma sio.wakatoka wakiambia wasimamizi 'mmekosea bana,paper sio hii!!'