This is not fair!

umenikumbusha joke ya vijana waliopata desa waka-solve usiku kucha wakiamini ndo paper yenyewe. kuingia kwenye mtihani wanakuta ngoma sio.wakatoka wakiambia wasimamizi 'mmekosea bana,paper sio hii!!'
 
<br />
<br />
Mi nakumbuka kuna shule moja ya advance huko kilombero,paper ya number(hesabu) ilivuja,wanafunzi wote wakashindwa ku-solve hadi mwalimu wao ikamshinda na kesho yake wote wakafeli paper!
 
umenikumbusha joke ya vijana waliopata desa waka-solve usiku kucha wakiamini ndo paper yenyewe. kuingia kwenye mtihani wanakuta ngoma sio.wakatoka wakiambia wasimamizi 'mmekosea bana,paper sio hii!!'

lazima wakasaidie polisi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom