Michael Amon
JF-Expert Member
- Dec 22, 2008
- 8,769
- 3,644
- Thread starter
- #161
Ndugu zako wote kutoka killage wakihamishia makazi kwako usimlaumu mtu!
Ha ha haaaa!!! Ndio maana nitajenga nyumba nyingine ya ziada kwa ajili ua wageni.
Ndugu zako wote kutoka killage wakihamishia makazi kwako usimlaumu mtu!
Hebu wekeni zile ndogo, simple but elegant na sisi watumishi wa uma tuangalie na kudesa..
mgagaa na upwa hali wali mkavu
Young Master, usisahau kuweka mapazia kama ya ile nyumba ya Gavana! Milioni hamsini tuu
She is cute. But the future is now.
Unataka kutuambia humu ndani kwamba mtu hawezi kuota kununua gari au chochote kile duniani kwa sababu tu watu wengine wanamiliki tayari?hii siyo nyumba ya neyo kweli...
hii ndoto imeshaotwa na imetimizwa...dream yours aisee
Naomba nije niwe "house boy" wako ntakutumia Cv zangu.