This is my future house...Whats yours?

This is my future house...Whats yours?

safi sana kajumba kadogo halafu kazuri sana!
 
hapo had umalze nyumba yako utakuw umewatajrsha mafund kuliko ww, mana mtagawana nusu kwa nusu garma ya ujenz na utashangaa w umemalza nyumba na kuflisika wenzako(mafund) ndo wanauanza utajir na kukuajr ww tena kam ...
 
Ha ha haaaa!!! Nitakuwa makini sana mkuu ili jambo kama lisitokee.
 
Hii inaonekana kuwa ni nyumba halisi, yaani ishajengwa na ni kama vile ipo nje. Usije ukuwa unatuchezea akili zetu mh? Au unataka kukopi na kupesti?
 
ha ha haaaaa!!! mkuu...mambo ya ngoswe muachie ngoswe...mambo ya graphics waachie wataalam.
 
tuache utani nieeleze vizuri jinsi utakavyo fanikiwa kushusha huo mjengo mimi ninakibanda changu mwaka wa sita sasa hakijaisha wewe unafanyajefanyaje!
 
Ni rahisi sana mkuu...All you have to do is do your best and let God do the rest.
 
ocean_blue_large.jpg

And this is my future house...
 
lazima nikutafute napenda watu wabishi kama wewe wanoamini kuwa wanauweza na huku wakimtegemea MUNGU nimejifunza kitu mzee
 
Back
Top Bottom