This is my future car...Whats yours?

Wanabonyeza viswichi ambavyo huwasha pump inayosukuma hewa au mafuta (hydraulic) kuinua gari kama vile jeki inavyofanya kazi.

Alaaahhh!!! kumbe...umenitoa ushamba mkuu...hivi hiz gari bongo zipo kweli?
 
Alaaahhh!!! kumbe...umenitoa ushamba mkuu...hivi hiz gari bongo zipo kweli?
Hii huwa haiji na gari, unaweka mwenyewe kama unapenda, ni kama vile watu wanavyoweka mziki mkubwa kwenye gari.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…