This is getting too strong

Mjinga hujifunza kwa kupitia makosa yake,mwerevu hujifunza kwa kupitia makosa ya wenzake..endelea na wake za Watu utafundishwa somo.
 
Nami nina experience na hilo. Wao huniambia wanapenda nilivyo caring na considerate . Tena kuna mmoja mwaka jana mwishoni aliniambia anatamani mumewe angekuwa na tabia kama zangu bila shaka angeyafurahia mahusiano. Najaribu kuwakwepa sometimes nakwama.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…