sure...ingawa saiz sijapanga kuingia kwenye mahusianoKama uko sure kuwa hutopata ukimwi endelea nao kama unaogopa ukimwi bora tumia gharama ili mradi uwe safe tafta binti uwe nae maana ushauri tunaoutoa humu jf hatujuani na wenda tunawashauri watu wetu watarajiwa hapa napo kuna shida.cheza na hela ila sio afya
Embu vaa viatu vya hao unaokula wake zao. Ungekuwa ni wewe ukagundua. Ungejiskia je?ofcoz km kuliwa ataliwa tu kwamba mimi niliwala au sikuwala haiwez kua sababu
i know ingekua n mm nisingejisikia vizuri...ila trust me kuna vitu wanamiss aisee...ukimuangalia its like she completely give up kwa mme wake..kwamba he wont give her the attention and affection she gets from someone else....or me in that case means ata waume nao they have to asses themselves upyaaEmbu vaa viatu vya hao unaokula wake zao. Ungekuwa ni wewe ukagundua. Ungejiskia je?
Sasa ww suburi ukioa wako akivimis wenzako wamdandiei know ingekua n mm nisingejisikia vizuri...ila trust me kuna vitu wanamiss aisee...ukimuangalia its like she completely give up kwa mme wake..kwamba he wont give her the attention and affection she gets from someone else....or me in that case means ata waume nao they have to asses themselves upyaa
Hahahha eti "wanajieshimu! π ππHabari za juma pili wadau
Kwanza nianze kwa kutoa pongezi zangu za dhati kwa wachangiaji nawaleta mada ndani ya jukwaa ili kubadilishana uzoefu kwenye mambo mbalimbali yakijamii na kifamilia
Dhumun lakuandika uzi huu ni kutaka kueleza maswahiba yanayonisibu na haswa kwenye mahusiano.
Kwa kasi ya ajabu sana nimejikuta nina idadi kubwa ya wake za watu ambao najihusisha nao kimapenzi (kama wa4) siwezi kusema najiona rijali au mwerevu sana ila kwa namna ambazo sielew elewi najikuta naangukia kwa wake za watu (kuna ambao either niliwapenda mm na ambao wao walianza)
Hii trend inakua kadri ck zinavyoenda na najikuta i love them more....kwa sababu sio wasumbufu and wanajiheshimu
Wakuu hii hali hua inamtokea kila mmoja au ni mm tu na kwa kadri siku zinavyozid kwenda i think it is getting stronger.
I am early 30's na sijaoa
Ushauri,maoni,vijembe, vyote ruksa
........... Kitandani sodoma πSiku wenye wake zao wakikukuta wakufanyie mambo ya Singida Dodoma....
Akaenda kuwauliza....????Kwenu hakuna wakubwa??
Wajua wengine wanadharau wakubwa zao....Awaulize wamshauri