Sahihisha kwanza :- Maswahiba = maana yake ni marafiki (washikaji) !1Habari za juma pili wadau
Kwanza nianze kwa kutoa pongezi zangu za dhati kwa wachangiaji nawaleta mada ndani ya jukwaa ili kubadilishana uzoefu kwenye mambo mbalimbali yakijamii na kifamilia
Dhumun lakuandika uzi huu ni kutaka kueleza maswahiba yanayonisibu na haswa kwenye mahusiano.
Kwa kasi ya ajabu sana nimejikuta nina idadi kubwa ya wake za watu ambao najihusisha nao kimapenzi (kama wa4) siwezi kusema najiona rijali au mwerevu sana ila kwa namna ambazo sielew elewi najikuta naangukia kwa wake za watu (kuna ambao either niliwapenda mm na ambao wao walianza)
Hii trend inakua kadri ck zinavyoenda na najikuta i love them more....kwa sababu sio wasumbufu and wanajiheshimu
Wakuu hii hali hua inamtokea kila mmoja au ni mm tu na kwa kadri siku zinavyozid kwenda i think it is getting stronger.
I am early 30's na sijaoa
Ushauri,maoni,vijembe, vyote ruksa
serengeti wanasumbua sana aisee...with that experience my mind is so focus than ever before..ila kwa serengeti wanasumbua sanaAisee yaani unaacha serengeti unakomaa na hao ambao wengine seal zimekufa,maambukizi ya ukimwi ni asilimia 50 kwa wanandoa,wote wanachepuka mke na mume.unaona sifa hiyo? jiongeze.tafuta msimbe mmoja tulia naye.achana na umario huo.
kweli mkuu.ukubali kusubiria papuchi mwezi mzima.hapo utakuwa tayari umegonga wake za watu wanne.wastani mmoja kila wiki.kama inakufaa endelea ila at your own riskyserengeti wanasumbua sana aisee...with that experience my mind is so focus than ever before..ila kwa serengeti wanasumbua sana
si jambo jema kabisa mkuu i can strongly agree with u...the issue is najikuta i am working down that road and never wish to turn backUpande wangu mke wa mtu hapana... Sijawahi kuwafikira au kuwawazia kabisa...
Ila kama ni mwanamke ambae yupo single, hajaolewa, au yupo kwenye uchumba tuu.. nikimtaka simuachi...
Labda unakwepa gharama... [emoji55]si jambo jema kabisa mkuu i can strongly agree with u...the issue is najikuta i am working down that road and never wish to turn back