Filosofia ya Rorya
JF-Expert Member
- Sep 20, 2021
- 3,211
- 3,619
Yule wa jimbo la millet ambaye ana tofauti na huyu Balozi Slowslow akiona anayoyafanya Balozi si ajabu roho inamuuma.Yes ,anaongea, unaona kweli Kiongozi kaongeaa !!.
Kwa ufupi, Mazalia yote ya JPM yana ubora mnoo kulinganisha na Hawa Msoga/Chaga Gang.
Hii ni mara ya tatu huyu Balozi anakagua gwaride la jeshi kamili, heshima ambayo hata mabalozi wetu huko Ulaya na Americas hawajawahi kupata.Sawasawa..
Sawasawaaaa.....
Alivyopangiwa Malawi wengi walimcheka kwamba katupwa jalalani kumbe Mhe. Balozi mtazamo wake kwenye kazi ni sawa na mtazamo wa aliyemfinyanga kuwa hivyo yaani Mhe. JPM ambaye hata ungempa kuwa Waziri wa njaa bado angehakikisha watu wanashiba. MheOchuna, buturi, shirati, utegi, wagire, kamageta omera katika ubora wako ni kweli kabisa dah big up anyuola!!
Huyu balozi namkubali sanaYes ,anaongea, unaona kweli Kiongozi kaongeaa !!.
Kwa ufupi, Mazalia yote ya JPM yana ubora mnoo kulinganisha na Hawa Msoga/Chaga Gang.
Soon ataenda kutuwakilisha huko Antarctica [emoji23][emoji23][emoji23]Alivyopangiwa Malawi wengi walimcheka kwamba katupwa jalalani kumbe Mhe. Balozi mtazamo wake kwenye kazi ni sawa na mtazamo wa aliyemfinyanga kuwa hivyo yaani Mhe. JPM ambaye hata ungempa kuwa Waziri wa njaa bado angehakikisha watu wanashiba. Mhe
Balozi amedhihirisha kuwa kumbe hata kuwa Balozi kwenye nchi maskini bado tu unaweza uka-rise na kuwa kwenye international platforms.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Alivyopangiwa Malawi wengi walimcheka kwamba katupwa jalalani kumbe Mhe. Balozi mtazamo wake kwenye kazi ni sawa na mtazamo wa aliyemfinyanga kuwa hivyo yaani Mhe. JPM ambaye hata ungempa kuwa Waziri wa njaa bado angehakikisha watu wanashiba. Mhe
Balozi amedhihirisha kuwa kumbe hata kuwa Balozi kwenye nchi maskini bado tu unaweza uka-rise na kuwa kwenye international platforms.
Sijui nn ulitaka kuandika, mie ninashindwa kukuelewa kabisa,sijui unalalimika!?, sijui unanung'unika!?, mie sikuelewi kbs,fanya uamuzi mmoja,nenda kapungwe ili uondolewe hayo mapepo ya chuki,au ukaombewe na walokole.unaonekana unachuki za nyoka.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Haters bwana!!
Wanajifanya wamesahau kuwa huyo slowslow ni mtoto wa mjini kikwete aliyemuibua na kumuweka hadi kwenye bunge la katiba (alimuibua makonda pia) na jpm (r.i.p) alimkura akiwa ameshaaandaliwa (ametolewa ushamba).
Wanajifanya wanasahau kuwa ni mama samia aliyeamua kumpa heshima hiyo na ni mama samia huyohuyo aliyeamuru msaada huo uende huko na hatimaye mtu wenu kuonekana.
Wanajifanya kusahau pia kuwa ni ustaarabu (kutokuwa na visasi) na kuelimika kwa mama ndiko kunakomfanya mtu wenu aonekane leo kwani alishachanganyikiwa huyo baada ya jpm (ulaji) kuondoka, alibaki tu kuanzisha nonsense school kujaribu kumtikisa mama. Kama ingekuwa enzi zile za visasi, angechinjiwa baharini vibaya sanaaa. Siku anamuapisha, mama alisema, 'slowslow ukitoka hapa utakuja ofisini tuongee na kuelekezana....'. Tangu hapo amekuwa mwenye kuonyesha uhodari sana katika kazi yake. Ni mlezi bora kiasi gani huyu mama!!! Haters hawalioni na wala hawataki kulisikia kwa jinsi walivyojaa chuki wanabaki kujaribu kujipunguzia stress kwa kusifiasifia hadi vitu vya kijinga......eti anatembea vizuri[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kuonyesha alichokifanya polepole ni kulinda legacy? Kweli shetani ni watu,sio mawe.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ukweli ni kuwa walioanzisha gumzo hilo ni walinda legacy wenyewe; lengo likiwa ni kujaribu kuuaminisha umma kuwa mama anavuruga chochote kilichoachwa na jpm. Wanapoona uamuzi wake unaleta mafanikio, mnageuza tena kibao. Kiufupi mmekwama sana na mnaowachukia wanazidi kukuacheni.
Kabisa mama akiamua huyu jamaa arudi kulima ni sekunde tu🤣🤣🤣🤣🤣
Haters bwana!!
Wanajifanya wamesahau kuwa huyo slowslow ni mtoto wa mjini kikwete aliyemuibua na kumuweka hadi kwenye bunge la katiba (alimuibua makonda pia) na jpm (r.i.p) alimkura akiwa ameshaaandaliwa (ametolewa ushamba).
Wanajifanya wanasahau kuwa ni mama samia aliyeamua kumpa heshima hiyo na ni mama samia huyohuyo aliyeamuru msaada huo uende huko na hatimaye mtu wenu kuonekana.
Wanajifanya kusahau pia kuwa ni ustaarabu (kutokuwa na visasi) na kuelimika kwa mama ndiko kunakomfanya mtu wenu aonekane leo kwani alishachanganyikiwa huyo baada ya jpm (ulaji) kuondoka, alibaki tu kuanzisha nonsense school kujaribu kumtikisa mama. Kama ingekuwa enzi zile za visasi, angechinjiwa baharini vibaya sanaaa. Siku anamuapisha, mama alisema, 'slowslow ukitoka hapa utakuja ofisini tuongee na kuelekezana....'. Tangu hapo amekuwa mwenye kuonyesha uhodari sana katika kazi yake. Ni mlezi bora kiasi gani huyu mama!!! Haters hawalioni na wala hawataki kulisikia kwa jinsi walivyojaa chuki wanabaki kujaribu kujipunguzia stress kwa kusifiasifia hadi vitu vya kijinga......eti anatembea vizuri😂😂😂😂😂😂
Inawezekana haikuwa kwa ajili yako, we endelea na unazozielewa! Kukusaidia tu, hapo sijalalamika wala kunung'unika sababu sina sababu yeyote ya kufanya hivyo; hapo mi nimefurahi tu (kivyangu) na unafiki wa watu......haters!Sijui nn ulitaka kuandika, mie ninashindwa kukuelewa kabisa,sijui unalalimika!?, sijui unanung'unika!?, mie sikuelewi kbs,fanya uamuzi mmoja,nenda kapungwe ili uondolewe hayo mapepo ya chuki,au ukaombewe na walokole.unaonekana unachuki za nyoka.
Exactly anyuolaAlivyopangiwa Malawi wengi walimcheka kwamba katupwa jalalani kumbe Mhe. Balozi mtazamo wake kwenye kazi ni sawa na mtazamo wa aliyemfinyanga kuwa hivyo yaani Mhe. JPM ambaye hata ungempa kuwa Waziri wa njaa bado angehakikisha watu wanashiba. Mhe
Balozi amedhihirisha kuwa kumbe hata kuwa Balozi kwenye nchi maskini bado tu unaweza uka-rise na kuwa kwenye international platforms.
This is the one.