Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 76,065
- 107,584
Haya jamani ushindani kwenye fani ya habari unaendelea kukua Thisday wame-launch new website nimeipenda hiyo! Mtanzania na Mwananchi (ukiacha online digital copy) lini wataboresha website zao? Maana kila siku zinaniwekea virusi kwenye computer yangu. Hima hima jamani