This article about Dodoma becoming a capital city will rock you!

This article about Dodoma becoming a capital city will rock you!

Je katika hali tulionayo ya kiuchumi kwa sasa na mambo serikali inayotakiwa kuwatimizia wananchi, bado kuhamia Dodoma kuna uzito kuliko vitu vingine?
Kwa maoni yangu makao makuu kuhamia Dodoma haitakiwi kuwa kipaumbele walau kwa miaka hii mitano ya awamu ya tano. Kwa dhati kabisa niseme tu kuwa mpango wa kuhamia Dodoma unatgakiwa kuwa mkakati wa kitaifa ambao si lazima JPJM na awamu ya tano ya uongozi iutekeleze kwa ukamilifu. JPJM anaweza kuanza utekelezaji kwenye awamu ya pili ya uongozi wake kama akifanikiwa kuchaguliwa tena 2020, lakini wengine wanaweza kumalizia. Kuna umuhimu wa kuweka vipaumbele vya taifa katika mtiririko mzuri zaidi.
 
Is Dodoma a priority? kwa hali ya Tanzania ya sasa? Kiwanja cha ndege kitasaidia kuongeza route za hizo ndege za atc mpya. Kama ilitakavyo kuwa kwa Iringa na kwingineko. Unaweza kusave hela kwa kukuzuia matumizi ya hovyo serikalini halafu ukaipeleka kujenga jengo la wizara ya maliasili dodoma ukaacha hili la hapo ivory room la juzijuzi tu, kweli imekaa vizuri hii?


Mbona work is in progress.Ukarabati wa airport ya Dodoma upo mbioni ili itue ndege kubwa.Ujenzi wa barabara kuunganisha Arusha na Iringa kupitia Dodoma kiwango cha rami upo mbioni.Ujenzi wa reli ya kati kwa standard gauge nayo reli inapitia Dodoma.Jengo la Bunge limeishamalizika na linatumika,Vipo Vyuo vikuu viwili,na shule za msingi hadi sekondari za kumwndioMakao makuu ya idara ya madini.Mkuu Dodoma haikwepeki tupende tusipende
 
Wangeanza na wizara hata tano kwanza,kisha tuone kunaendaje.
 
Hilo haliwezekani maneno ya kisiasa tu kama ya kukamata wanyabiashara wa sukari nakuwa peleka mahakama pap
 
Tatizo wakati watu wanadanganyika sana wanakosa maarifa ya kutambua lipi linawezekana na lipi haliwezekan.kwa ss waelevu tumeshaa jua nimaneno ya kisiasa tu hayo
 
Mbona work is in progress.Ukarabati wa airport ya Dodoma upo mbioni ili itue ndege kubwa.Ujenzi wa barabara kuunganisha Arusha na Iringa kupitia Dodoma kiwango cha rami upo mbioni.Ujenzi wa reli ya kati kwa standard gauge nayo reli inapitia Dodoma.Jengo la Bunge limeishamalizika na linatumika,Vipo Vyuo vikuu viwili,na shule za msingi hadi sekondari za kumwndioMakao makuu ya idara ya madini.Mkuu Dodoma haikwepeki tupende tusipende
Wewe ni mshabiki usiye na fact
 
Serikali Ingekuwa Na Mipango, Ziwa Victoria Linatosha Kuondosha Hali Ya Jangwa Kuanzia Shinyanga, Tabora, Singida Na Dodoma
Wamisri hawataki maji yao yaguswe mkuu. Wana madege ya kijeshi ya Kimarekani wale ohooo. Shauri yako!
 
sasa hivi suala la UJENZI WA VIWANDA sio issue tena bali KUHAMIA DODOMA ndio mpango mzima eeh?
 
Nadhani ungesoma ungejua zaidi nini kifanyike kuifanya hii project sustainsble!
Usomi mwingi minadharia mitupu, Dar ina sustainability plan gani? palipo na Utashi wa kisiasa kila kitu kina wezekana, siku zote zoezi lilikuwa likilegalega kwa sababu ya kukosekana tu Utashi wakisiasa kutoka kwa Rais, lakini kwa Rais wa sasa lazima hili alitekeleze, nakushauri tu badala ya kupoteza muda kusoma haya manadharia yako twende tukawahi viwanja kabla ya hawa wagogo kuzinduka kama tulivyofanya kwa wazaramo
 
Nimegundua CCM na UPINZANI bado wataendelea kutu danganya sana na bado tutaona wako sawa.
Haya baba subiri mabomba yatoe maziwa
 
Articl
Mcfm40, kudos for sharing this well-researched piece! Actually, in this critique the author tries to show the ironically missing link between the original idea of (capital city) Dodoma as concieved by Nyerere (which allegedly was borrowed from Mao's communist China) and its implementation, which was largely influenced by ideas from the capitalist west. This argument would, to some extent, have held water if we had still been embroiled in typical cold-war ideological wrangling. Otherwise, does this line of reasoning really render the entire Dodoma project obsolete?
Article haisemi kwamba the entire project is obsolete bali namna ya utekelezaji wake ndio sio sahihi! Imposition ya western type city plans katika mazingira ya kiafrika sio dahihi! Inawatenga na kuwadislocate wananchi wengi. Wanaofaidika na aina hii ya miji ni the chosen few! Hii imechangia miji mingi kuwa unstainable na hata Dar sio sustsinable pia! Ndio chanzo cha slums na squaters!
 
Hivi hili lipo katika mpango wa taifa wa miaka mitano?
 
Bora watu wapungue huku DSM tu run this City....
 
Na hilo ndio tatizo letu kubwa. Kusahau kuweka maamuzi muhimu kwenye mipango. Jambo hili linaturudisha nyuma sana
 
Back
Top Bottom