This article about Dodoma becoming a capital city will rock you!

This article about Dodoma becoming a capital city will rock you!

The Nigerians moved from Lagos to Abuja, why can't we?
I support JPM on this!
 
Wananchi bana walikuwa wanalalamika serikali ihamie Dodoma,leo wanaigeuka serikali baada ya kutangaza kuhamia Dodoma.
 
Mbona work is in progress.Ukarabati wa airport ya Dodoma upo mbioni ili itue ndege kubwa.Ujenzi wa barabara kuunganisha Arusha na Iringa kupitia Dodoma kiwango cha rami upo mbioni.Ujenzi wa reli ya kati kwa standard gauge nayo reli inapitia Dodoma.Jengo la Bunge limeishamalizika na linatumika,Vipo Vyuo vikuu viwili,na shule za msingi hadi sekondari za kumwndioMakao makuu ya idara ya madini.Mkuu Dodoma haikwepeki tupende tusipende
Kasi ya maendeleo na miundo mbinu ni kubwa ili kugeuza manispaa ya Dodoma kuwa jiji.
 
..hata mimi nimejiuliza kama kuhamia dodoma ni muhimu kuliko masuala kama ujenzi wa viwanda nchi nzima, kuboresha na kupanua sekta ya utalii, usambazaji umeme vijijini, etc etc.
Moja ya sababu kuu ya kuhamia serikali Dodoma ni Usalama na pili ni katikati ya nchi yetu.
 
Wangeanza na wizara hata tano kwanza,kisha tuone kunaendaje.
Wizara ipi haina ofisi Dodoma [emoji780]
Jambo la kusikitisha ni baadhi ya wakurugenzi wa idara kuu zilizo chini ya wizara karibu zote wako Dodoma lakini vikao vya kiofisi na waziri au katibu mkuu ni Dar.
 
Tusianze kukatishana tamaa. Hata katika Maisha yako ukianza kusema hiki kitu hakiwezekani na hakitawezekana ilihali wenzio wanazidi kufanikiwa
 
Tusianze kukatishana tamaa. Hata katika Maisha yako ukianza kusema hiki kitu hakiwezekani na hakitawezekana ilihali wenzio wanazidi kufanikiwa
Sio kukatishana tamaa. Ni kuonesha uhalisia ili wajipange vizuri! Wasidhani ni rahisi tu!
 
Our President does not have priorities
Mara viwanda
Leo kuhamia Dodoma
 
Walikuwa wanaisema serikali kwa kushindwa kuamia Dodoma, leo hao hao wanapinga serikali kuamia dodoma. Inashangaza sana.
 
Usalama wa nani?
Unauliza usalama wa nani [emoji780]

Sawa [emoji779] Ni usalama wa taifa letu na Rais pamoja na wasaidizi wake wakuu wa nchi.

Napongeza uamuzi sahihi wa kuhamia ikulu ya kisasa na salama zaidi pale Chamwino Dodoma
 
Walikuwa wanaisema serikali kwa kushindwa kuamia Dodoma, leo hao hao wanapinga serikali kuamia dodoma. Inashangaza sana.
Tusifu tu? Huoni kukurupuka kwa mh? Je hili jambo limemjia tu kichwani ghafla au lipo kwenye mipango? Kuhamia saws lzkini kwa mikakati inayoeleweka!
 
Unauliza usalama wa nani [emoji780]

Sawa [emoji779] Ni usalama wa taifa letu na Rais pamoja na wasaidizi wake wakuu wa
nchi.

Napongeza uamuzi sahihi wa kuhamia ikulu ya kisasa na salama zaidi pale Chamwino
Dodoma
Kwani miaka yote tangu uhuru ikulu nacserijali imekuwa Dar mbona hakujawahi kutokea tishio la usalama? Huo usalama uliopo ddm unatokana na nini?
 
Hii ni article moja yenye sababu za kitaalsmu kwa nini dodoma capital project has proved a failure. It is a fantastic article worth spending your precious time to read! Mtaona jinsi mipango yetu ilivyo disconnected from uhalisia wa mazingira yetu!

Happy reading!

The burden of being planned. How African cities can learn from experiments (...) - INTI - International New Town Institute
Hata kuishi kwako duniani siyo sustainable!
 
Hii ni article moja yenye sababu za kitaalsmu kwa nini dodoma capital project has proved a failure. It is a fantastic article worth spending your precious time to read! Mtaona jinsi mipango yetu ilivyo disconnected from uhalisia wa mazingira yetu!

Happy reading!

The burden of being planned. How African cities can learn from experiments (...) - INTI - International New Town Institute
Mbona hakuna kitu hiyoo atiko iko wapi
 
Anaejua Nzunguni ni umbali gani kutoka town mie ninunue kiwanja chapuu kabla hamjashituka wengine, ntie lalaleni tuu sie tuwahi kuhamie MJI MKUU
 
Hivi hili lipo katika mpango wa taifa wa miaka mitano?
KUPANGA NI KUCHAGUA! Hili limekuwa ndani ya mipango tangu enzi za Baba wa Taifa. It is high time likatekelezwa. Tanzania tulianza mpango huu wa kuhamisha makao makuu. Wakati huo huo Nigeria nao waliona umuhimu wa kufanya Lagos ubaki kuwa mji wa biashara na Abuja pawe mji wa shughuli za kiserikali. Wataalam wao walikuja kujifunza toka CDA yetu wakaenda wakafanya kazi Abuja ukawa mji wa serikali na mambo yanaenda vzr.Tatizo letu Watanzania ni kujifanya wajuaji wa ku-google mitandaoni kutafuta habari zilizoandikwa na wengine badala ya kuangalia hali halisi ya mahitaji yetu.
 
Hao walijifunza Dodoma (CDA) na waliporudi kwao wakafanyia kazi kuhama Lagos kwenda Abuja.
Kwani miaka yote tangu uhuru ikulu nacserijali imekuwa Dar mbona hakujawahi kutokea tishio la usalama? Huo usalama uliopo ddm unatokana na nini?
Wananchi bana walikuwa wanalalamika serikali ihamie Dodoma,leo wanaigeuka serikali baada ya kutangaza kuhamia Dodoma.
Watanzania tuna matatizo sana na kibaya zaidi hatujijui kama tuna matatizo.
Nakuwa na mashaka na kauli za JPM lakini kwa hili suala pana hoja. Yeye amepewa ilani ya ccm ambayo zaidi ya miaka 40 inaimba kuhamia Dodoma huku maneno yakiwa ndiyo yanatawala tu hivyo kusema kuwa miaka yake mitano inabidi mjadala wa Dodoma kwa mji mkuu uishe kwa kuhamia au kushindwa kuamia. Kama kweli haiwezekani ndio 2020 tutakuwa tumeshajua na kama inawezekana basi tutajua pia badala ya kukalia blabla nyingi.
Hebu jiulize, hizi awamu zilizomtangulia JPM zimeliongelea hili pia tena seriously lakini ni katika nyakati hizo Wizara nyingi zimejenga maofisi ya kudumu Dar es salaama na hata spika mmoja akajenga ofisi ya spika jimboni mwake badala ya Dodoma! I understand it will take time but we have to take a step in stopping this madness!
 
Back
Top Bottom