Bado sijakujibu hoja yoyote au unashindwa kuunganisha dots? Kila kitu nimeeleza, hayo mambo ya East Africa Airways hapa sio mahali pake! Tunachojadili hapa ni rationality ya kujenga Terminal 3 pale Mwalimu Nyerere International airport itakayowezesha kupitisha 6 million international passengers annually. Hilo halina uhusiano na The Old Dead and Buried East African Airways! Na kama unazungumzia suala la kufufua National Airline, nimelizungumzia sana, so, unanishangaza unaposema sijakujibu! Please, read between the lines!
Ninapo relate mambo ya EAA ni kukupa picha kuwa huu upuuzi na uzembe haujaanza leo. There are real people and real lives which were destroyed by the stupidity of some.
To call previous EAA issues dead and burried is a tunnelled vision, it's through learning from that that Tanzania can establish a viable Airline... Similarly the services that airlines need in terms of the airport, terminals, road network, communications, electrical supply etc etc etc.... Need I go on?
It's you my friend who do not know how to connect the dots.... Major issues like an airport building can't stand in isolation mkuu.
Bado narudia, yote hayo nimeshaeleza...kuna post yangu ulii-quote na kuita "looooooooong dissertation" hapo nimeshajadili suala la viable National Airline!Na kuna post nyingine nimeshasema kinachohitajika isn't only National Airline ili mradi tu tuonekane tuna National Airline bali ni airline ambayo ni economically viable! Kuwa economically viable, nikasema kwanza tunatakiwa ku-diversify socio-economic activities zitakazowezesha kuwa na wageni kutoka sehemu mbalimbali duniani! Hilo likiwezekana, hata National Airline itakuwa na international routes za kutosha coz' kutakuwa na Wachina wanaotaka kuja TZ, Wa-Spain wanaotaka kuja TZ, hali kadhalika from Singapore, Malaysia, Indonesia, Taiwan and so on! KUnapokuwa na wageni wa kutosha kutoka sehemu mbalimbali duniani, Airline inaweza kuanzisha route kwenda huko na hivyo kuwa economically viable airline!Ninapo relate mambo ya EAA ni kukupa picha kuwa huu upuuzi na uzembe haujaanza leo. There are real people and real lives which were destroyed by the stupidity of some.
To call previous EAA issues dead and burried is a tunnelled vision, it's through learning from that that Tanzania can establish a viable Airline... Similarly the services that airlines need in terms of the airport, terminals, road network, communications, electrical supply etc etc etc.... Need I go on?
It's you my friend who do not know how to connect the dots.... Major issues like an airport building can't stand in isolation mkuu.
Mkuu you're 101% very right na ndio maana nikasema kwamba ikiwa kweli Kenya wanataka kujenga uwanja utakaopitisha 40 million passengers, then they're insane! Jomo Kenyatta hadi sasa inapitisha about 6 million passengers na uwanja upo pale for more than 40 years! Kwa capacity ya 40 million basi watafikia baada ya karne moja! Wanafikisha sasa abiria 6 million wakati bado ni largest gateway in east africa!Jamani watu fanyeni utafiti kabla ya kukurupuka.
Uwanja wa 40m passengers ni kama heathrow au dubai. Yaani unaongelea mji.
Tanzania wana abiria 2m, ukijenga airport ya 40m, inamaanisha airport itazeeka kabla hata kufikia capacity ya 40m.
Mfano aiport kama heathrow ukianza kufika maeneo ya kimara unakuwa umeshaingia maeneo ya airport yao tiyari.
Airport ya dar ili iweze kubeba abiria 12m inabidi upanue barabara uvunje viwanda vya azam na ma mall ya manji.
Upanuzi wa airport ni ongoing process; heathrow, Jfk na DXB wote wamefanya upanuzi kuongeza uwezo.
Heathrow wameongeza terminal 5.
DXB wameongeza terminal ya tatu ambayo itawafanya capacity ya 60m.
Nairobi uwanja wao ni mbaya kama wa bongo tofauti kidogo.
Kama wanaongeza capacity ili ifike 40m inamaa ni kama zile terminal mbili za Dubai au kwa kifupi kama dubai ilivyokuwa 2012 (yetu macho, hizi siasa zingine). Sasa hivi wana abiria 6m, 40m may be another 20yrs. Uwanja ukae 20yrs bila kutumika.
Solution kwa bongo, baada ya huu upanuzi watenge eneo kwa ajili ya uwanja mwingine may be bagamoyo, mlandizi au kusini kilwa road mbele
Unaweza ukajisomea kidogo kuhusu DXB link hapo chini. Pia unaweza uka google
Fact sheets, Reports & Statistics
Kwanza, kwa hesabu za haraka haraka mradi utagharibu kiasi kisichopongua Euro 250 milioni ambacho ni sawa ni zaidi ya $335 milioni. Yetu mradi wetu utakuwa na uwezo wa kupitisha watu milioni 6, ilhali huo wa Kenya wa kiasi mara 2 ($653) tu wa kwetu utapitisha watu mara 7 zaidi ya kwetu.
Ama kweli ukitaka kuje kujenga na kuchuma, basi njoo Tanzania.
Wandugu Tunaomba rami viwanja vya Wilayani
Mkuu you're 101% very right na ndio maana nikasema kwamba ikiwa kweli Kenya wanataka kujenga uwanja utakaopitisha 40 million passengers, then they're insane! Jomo Kenyatta hadi sasa inapitisha about 6 million passengers na uwanja upo pale for more than 40 years! Kwa capacity ya 40 million basi watafikia baada ya karne moja! Wanafikisha sasa abiria 6 million wakati bado ni largest gateway in east africa!
Lets go back to square one...
Ninachosema hapa, ni kuwa kuongeza majengo ya terminal tu DIA itakuwa ni hasara kwa nchi. Ku plan for a 6m terminal might be adequate for the next ten years at most. Sababu kubwa ni kutokuwepo nafasi ya kutosha ya ardhi ili ikihitajika, basi ni kutia bulldozer moto na kuendeleza project hata miaka ishirini ijayo... That's my core point. Mengine yote ni katika kutoa mifano hai ambayo tumepitia and yet ama hatutaki kujifunza, au tunaignore au ni upuuzi na kukosa upeo wa mbali kielimu na nyoyo za wakubwa wahusika.
Ndio narudia tena, international airport yetu ni mzaha kabisa! One can NEVER be able to land and take off with a fully laden B777.
Sasa kwa nini tunang'ngania kujenga kabanda tu .... Instead of having long term planning and move the whole thing out of there??
Mkuu acha UONGO. Unaongelea vitu gani hapa? Unaongelea Uwanja kama Barabara au uwanja kama Majengo?
All in all, hata A380 kwa sasa inaweza kutua ikiwa imeshiba. Na kwa kawaida, ndege zinapotua, tayari zinakuwa na mafuta kidogo ndani baada ya safari ndefu. Ningelikuelewa kama ungeliniandikia Load Capacity ya uwanja wa Dar na hapo tuangalie uzito wa A380 au Antonov ya Ukraine. Na kwa taarifa yako tu, Antonov zimetua sana Uwanja mdogo wa Mwanza kuja kuleta Silaha na kubeba Minofu ya Samaki Ziwa Victoria. Sasa utalinganisha na uwanja wa Dar?
Mkuu.... Usinitukane kwa kuniita MUONGO.....hatufahamiani na mimi sikujuwi na wala sina haja ya kujua una utaalam upi wa kutetea hoja zako.
Pinga hoja kwa hoja...
Kwa maandishi yako tu naona wewe hujui nini unachoandika.
What is LOAD CAPACITY ya kiwanja?
Ni dudu gani hilo?
Nina kuhakikishia AT MAXIMUM GROSS TAKE OFF WEIGHT ndege kubwa yeyote ile kama A340, B777 B747 na haswa Airbus 380, haziwezi ku take off kwenye runway ya futi 8,500.
Huo ndio urefu wa Dar airport.
Na kama bado utanibishia, basi nitajua niko kijiweni napoteza mda wangu tu.
Antonov zinatuwa vizuri tu Mwanza unajuwa ni kwa nini???
Kwa sababu by design ina matairi mengi sana ambayo husambaza uzito wake!
Ukiangalia ukubwa wa Jomo Kenyatta International Airport lakini bado sasahivi serikali ya Kenya inafanya uwekezaji wa kutosha katika kuupanua na kukarabati majengo ya zamani na kuyafanya ya kisasa zaidi, pamoja na kuongeza ''run ways" ndipo utagundua kuwa serikali ya ccm imo shimoni inasubiri kumwagiwa udongo tu.
Yaani watu hawawezi kufukiria kujenga uwanja utakaohimili matumizi kwa miaka 30-50 ijayo wao wanafikiria umbali wa pua zao eti watu milioni 3!!!
Mkuu Bukyanagandi.Mkuu hata mimi nimeshindwa kumuelewa! Anataka Ritz amu-contact Eng. ili iweje? Ampatie an Exploded View ya TERMANIAL three au BOQs.