Jamani watu fanyeni utafiti kabla ya kukurupuka.
Uwanja wa 40m passengers ni kama heathrow au dubai. Yaani unaongelea mji.
Tanzania wana abiria 2m, ukijenga airport ya 40m, inamaanisha airport itazeeka kabla hata kufikia capacity ya 40m.
Mfano aiport kama heathrow ukianza kufika maeneo ya kimara unakuwa umeshaingia maeneo ya airport yao tiyari.
Airport ya dar ili iweze kubeba abiria 12m inabidi upanue barabara uvunje viwanda vya azam na ma mall ya manji.
Upanuzi wa airport ni ongoing process; heathrow, Jfk na DXB wote wamefanya upanuzi kuongeza uwezo.
Heathrow wameongeza terminal 5.
DXB wameongeza terminal ya tatu ambayo itawafanya capacity ya 60m.
Nairobi uwanja wao ni mbaya kama wa bongo tofauti kidogo.
Kama wanaongeza capacity ili ifike 40m inamaa ni kama zile terminal mbili za Dubai au kwa kifupi kama dubai ilivyokuwa 2012 (yetu macho, hizi siasa zingine). Sasa hivi wana abiria 6m, 40m may be another 20yrs. Uwanja ukae 20yrs bila kutumika.
Solution kwa bongo, baada ya huu upanuzi watenge eneo kwa ajili ya uwanja mwingine may be bagamoyo, mlandizi au kusini kilwa road mbele
Unaweza ukajisomea kidogo kuhusu DXB link hapo chini. Pia unaweza uka google
Fact sheets, Reports & Statistics