Third kit ya Simba miongoni mwa jezi bora Afrika

Utopolo haipo
huoni wanalalamika ,hawajui simba ilivyo na jina kubwa africa kwa sasa,nafasi ya 17, ipo bewst 16 ina social media followers wengi wao wamewekeza kuifanyia majungu simba badala ya kuhangaika ku ji revive,yaani wanaofanya research ya jezi bora africa wahangaike hata kujua za utopolo zinafananaje?
 
Inamaana waliofanya huu utafiti hawajaona madela tuliyozindua juzi juzi hapa au hii list imetumia vigezo gani......!
 
Back
Top Bottom