Kwa hyo ushauri wako ninini hapoKama lwakatare atakuwa ameshikishwa na ccm akaweza kufanya ivo kwa uaminifu mkubwa kiasi hicho basi ccm imefanikiwa sana ku penetrate ndani ya chadema
Kwa hyo ushauri wako ninini hapoKama lwakatare atakuwa ameshikishwa na ccm akaweza kufanya ivo kwa uaminifu mkubwa kiasi hicho basi ccm imefanikiwa sana ku penetrate ndani ya chadema
Anything goes in war. Na kwa sasa Chadema ipo vitani dhidi ya CCM,with the latter fighting for survival.
Hivi kwa wanaoijua Chadema kiundani, allegience ya Lwakatare kwa chama hicho ilikuwa kubwa kiasi gani? Na hata kama ilikuwa kubwa kupindukia, je hakuna uwezekano kuwa fedha za kifisadi zimetumika kumlainisha?
Mwanzoni nilipoona ile video ya Lwakatare akili yangu ilielekea kwenye wazo moja tu kuwa ni hujuma za CCM. Sasa naangalia suala hilo kwa mtazamo tofauti kidogo.
What if Lwakatare alikuwa anafahamu kuwa anarekodiwa,na alikuwa anajua video hiyo itakavyoipa Chadema wakati mgumu?
So far,inaelezwa kuwa Lwakatare mwenyewe amekiri kuwa alisema baadhi ya maneno ktk video hiyo.Ni yapi aliyosema na yapi "aliyopandikiziwa"?
Yah,labda Ludovick alitumwa na Mwigulu afanye recording hiyo lakini what if Mwigulu,Ludovick na Lwakatare lao ni moja ktk ishu hiyo?
Tuweke ushabiki kando. Maelezo ya Tundu Lissu kuwa wamenasa mawasiliano kati ya Mwigulu na Ludovick hayajibu swali "KWANINI LWAKATARE ALIONGEA HAYO ALIYOONGEA (tunaambiwa amekiri baadhi ya maneno yaliyomo kwenye video ni yake)?
Pengine kama ilivyoshauriwa na Zitto ni vema Lwakatare akachunguzwa.
I stand to be corrected
na tunazo taarifa juu ya pesa chadema mnazotaka kumgonga lwakatare ili ageuze kibao kuwa alitumwa na ccm,siku zote usiombe Mungu akuumbue,fadhaha take huwa mbaya hivi chadema mnawateketeza watanzania mngali hamna madaraka nani atawapa nchi mashetani ninyi,angalia mateso mlompa tesha kijana wa Igunga,angalia mlivomuua yule kijana Moro,angalia ulimboka,,mtalipa gharama,I hv always spoken ths this is a free masonic party
Mkuu wewe ndo yule mkombozi wetu ama majina tu yamefanana? ahsante kwa ufafanuzi mzuri...Lazima warudi studio hawa magamba....... In brief, katika kipindi hicho, Ludovick aliongea muda mrefu na Msaki kuliko alivyoongea na mie wake mwenyewe!!! Na hayo ni mbali na mawasiliano kati yake na Mwigulu Nchemba na kale ka-payment ka shilingi 50000 kwa M-Pesa wiki mbili baada ya Mwigulu Nchemba kuutangazia ulimwengu kuwa ana video ya mipango ya mauaji ya viongozi wa CHADEMA!!! Kitu kikubwa inachokithibitisha video clip hii, ukiachia njama dhidi ya CHADEMA na viongozi, ni jinsi ambavyo wahusika ni amateurs kwenye mambo hay a!!! Kwa maneno ya Sugu, 'wanahitaji kurudi studio', maana hii picha imeharibika!!!!
mungu huwa hazungumzi na mpumbavu yeyote mwenye asli ya binadamu msituongopee.msilete injili kwenye mambo ya siasa.Kazi za ibilisi kabla Yesu hajaja ni maandamano kupitia vyama vya wafanyakazi,,nabii Ellen G white anaandika haya,,biblia inakataza maandamano,,hata waliomuua masihi,walitumia nguvu ya umma yaani maandamano,,ninyi mwasema sauti ya wengi ni sauti ya Mungu,,,huu ni msemo wa kishetani na kiibilisi,,,sauti ya Mungu ni sauti ya Mungu,,,Mungu husema na watu wake kupitia mitume na manabii sip mapenzi ya umati yafanye Mungu aafiki ushetani wa siku za mwisho soma Kutoka;23:1-2.Mungu alishayalaani maamdamano shetani aliyatumia kwa kanisa jangwani kumburuga Musa