Think think....

Think think....

B'REAL

JF-Expert Member
Joined
Oct 20, 2010
Posts
4,582
Reaction score
3,272
one day kaa ufikiri,ujue mungu alicho kupa unatumia je na familia zako,wakati watoto wako wakila na kumwaga chakula kuna wengine wanamaisha ya shida broza.jpgyote maisha,broza 1.jpgkazi ngumubroza 2.jpgndo mapumziko yetubroza 3.jpgndo tunavyoishibroza 4.jpgwezetu wapo shulebroza 5.jpgdah ndo hali halisi,usha wai kuwaza maisha yawanao kama wewe hauta kuwepo dunia.
 
dah kweli wapo wanaoteseka mpaka huruma kwa nini wenye uwezo hawasaidia
 
Inasikitisha, lakini tungeweza kukabiliana na haya vizuri na kupunguza madhara ya huu umasikini kama : 1. tungedhibiti Ufisadi na rushwa 2. kuwakaba Wanaokwepa kulipa kodi 3. Wanadini badala ya kugombana baina sisi kwa sisi tutoe sadaka zetu kwa hawa masikini kuwanyanyua toka janga la umasikini. 4. Tungekuwa na moyo wa kweli wa kuthamini maisha ya binadamu wenzetu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom