Things Women Should Know

Wape wape vidonge vyao....wakimeza wakitema....ni shauri yao.....misss you my dear! :yo:

hah ahhah michelle sema mama vp pande io?anko obama ajambo?
ahh awa magubegubeaily naona wameamka nazo leo...ngoja tutambaenao MZH moja....nipe nikupe...niguse kwa bahat mbaya nikukanyage kwa makusud...et wanawake wananuka mhh jamn kuna mkaka uyo tulikuwa tunasoma nae jaman ata km akisimama km 10 toka ulipo unaipata habar yake yan anatema hatar...boksa inanukaaaaaaaaaaaaaaa rang ya bluu ahhh..asitake nimchambe nikimchamba atalia...na leo nataka nikaungame so boflo asitake uchokoz akanifanya nikapewa sala za malipiz nying...chtakkkkkkkkkkkk mie...:nono:
 
Boflo,

Why its the woman that has to please you guys, why can't you take that during those days its woman rest time with her body unless she wants it but otherwise I see selfishness here! Kuna wengine ni worst case mpaka mtu kumove around tabu sasa time ile wataka bonding gani tena

Ikiwa ni period hamuwezi kusubiri mnasema tunasababisha muwe na vimada sasa ikiwa ni ugonjwa which takes few weeks itakuwaje, si ndio mtahama kabisa.
 
hapo ndio point yangu......sasa utakuta wengine wakiwa wana period wanakuwa wakali utadhani mimi ndio nimesababisha period, hata kiss hupewi!!

km ungekuwa mwanaume kamili ungejua ninin kinasababisha anune.awe mkali....lakin kwa vile UNGALI U MVULANA HAUTAWEZA KUJUA NA UTABAK KULALAMA TU DEMU WANGU AKIWA PERIOD ANAKUWA MKALI....

ushauri;KAA NA KAKA ZAKO WAKUELEKEZE MECHANIC YA MWANAMKE NA JINSI YA KUIDRIVE
 
hapo ndio point yangu......sasa utakuta wengine wakiwa wana period wanakuwa wakali utadhani mimi ndio nimesababisha period, hata kiss hupewi!!

You guys do not know women, acheni kutoa darasa if you don't know what you're talking!
 
Boflo inategemea banaa! Labda wewe uko kama aeroplane, ukianza kunguruma tu unataka kupaa! Cuddling is the best, not all romance should end with sex. Chezeiya spooning weye? Kuna mianaume ukiwa period analala kwenye ncha ya kitanda utadhani kuna sumu!
hapo ndio point yangu......sasa utakuta wengine wakiwa wana period wanakuwa wakali utadhani mimi ndio nimesababisha period, hata kiss hupewi!!
 
Umenikumbusha mkaka nilisoma nae chuo, alikuwa ananuka mdomo, boksa, viatu, kwapa nadhani na makalio! Afu wadada wawili wanamgombea! Mate wake alihama, wadada wakahamia wote 2 room kwake. Sijui mitala ya vile ilikuwaje kupanga zamu! Nikikutana nao wallah ntawauliza manake umbea unanikereketa!
hah ahhah michelle sema mama vp pande io?anko obama ajambo?
ahh awa magubegubeaily naona wameamka nazo leo...ngoja tutambaenao MZH moja....nipe nikupe...niguse kwa bahat mbaya nikukanyage kwa makusud...et wanawake wananuka mhh jamn kuna mkaka uyo tulikuwa tunasoma nae jaman ata km akisimama km 10 toka ulipo unaipata habar yake yan anatema hatar...boksa inanukaaaaaaaaaaaaaaa rang ya bluu ahhh..asitake nimchambe nikimchamba atalia...na leo nataka nikaungame so boflo asitake uchokoz akanifanya nikapewa sala za malipiz nying...chtakkkkkkkkkkkk mie...:nono:
 
Umenikumbusha mkaka nilisoma nae chuo, alikuwa ananuka mdomo, boksa, viatu, kwapa nadhani na makalio! Afu wadada wawili wanamgombea! Mate wake alihama, wadada wakahamia wote 2 room kwake. Sijui mitala ya vile ilikuwaje kupanga zamu! Nikikutana nao wallah ntawauliza manake umbea unanikereketa!

ehh shost io kali...ananuka makalio du!
ebu watafute ao wake zake wakupe fid bak...ntakukumbusha...mwanamke umbeya kusutwa suna...
 
km ungekuwa mwanaume kamili ungejua ninin kinasababisha anune.awe mkali....lakin kwa vile UNGALI U MVULANA HAUTAWEZA KUJUA NA UTABAK KULALAMA TU DEMU WANGU AKIWA PERIOD ANAKUWA MKALI....

ushauri;KAA NA KAKA ZAKO WAKUELEKEZE MECHANIC YA MWANAMKE NA JINSI YA KUIDRIVE

unanipa darasa zuri...

wanawake mko complicated sana.....

Wengi wenu ni wasanii sana, na ndio maana inakuwa vigumu sana kuwa trust wanawake
 
lazima uyo mwanaume awe mwanaume m.j.inga bin m.p.umbavu...sasa utakasirika nin kuambiwa period?
ujui nature ya kike?

mwanaume ni akili na uelewa kinyume na apo ni bora atangulie wedng bells akachague shela

mdogo wangu, bado hujaacha matusi yako ya reja reja mpaka leo....................?
 
unanipa darasa zuri...

wanawake mko complicated sana.....

Wengi wenu ni wasanii sana, na ndio maana inakuwa vigumu sana kuwa trust wanawake

ok
swala la kutrust na kunuka ni vtu viwil tofaut......
WANAUME NDO WASANII SANA
 
mdogo wangu, bado hujaacha matusi yako ya reja reja mpaka leo....................?
NIONYESHE TUSI APO?
mod angeniacha?
au unataka tusi?
ptia brazil badaye nkupe......last bon wetu ajambo?
 
panapo red bwanakaka inaaplly kote
inategemeana na usafi wa mtu awe wa kike au kiume bt u cant sema wanawake wananuka woote
thats kuna mijianaume inanuka sana chn...boksa afui...boksa moja wik 2 na joto ili then njimbi anataka ushike mic...
mmmh kama cja elewa kdogo kushika mic ndo kufanya nini.....
 
Boflo kuna swali nilikuuliza. Unanikaushia au hujaliona?
truth.jpg
...................................
 
Hujanijibu. Signature si nilisoma? nataka kuelewa why sasa.
Nimekuuliza coz kuna mtu wa karibu ana misemo hiyo siku hizi.
I am worried, I hope mtu yule sio Boflo wa JF kwa kweli. lol

nitakujibu Mwali

naomba id yako ya facebook niku add
au nipe kwa pm
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom