Humble African JF-Expert Member Jul 28, 2013 4,779 14,377 Jan 29, 2016 #4 Hii picha themes yake inatoka kwenye nyimbo ya dolly paton inaitwa coat of many colours...! Huwa unasisimua sana wimbo ule.
Hii picha themes yake inatoka kwenye nyimbo ya dolly paton inaitwa coat of many colours...! Huwa unasisimua sana wimbo ule.
Royal Warrior JF-Expert Member Nov 19, 2015 1,166 2,143 Jan 29, 2016 #5 Hicho kitambaa alichokiweka as "kiraka" kingetosha kumshonea mwanae nguo yake.
bushland JF-Expert Member Mar 6, 2015 7,015 4,982 Jan 29, 2016 #6 Code Breaker said: Click to expand... VIP mbona haionekani?