OLESAIDIMU
JF-Expert Member
- Dec 2, 2011
- 19,139
- 9,574
HAHAHAAA. Lols.
Tena nikiona unajifanya huelewi 'I make actions speak louder than words'.🙂
Morning OS, a bright new day it is.
Wa kuambiwa mie????!!!!
HAHAHAAA. Lols.
Tena nikiona unajifanya huelewi 'I make actions speak louder than words'.🙂
Morning OS, a bright new day it is.
hahhahhhhahahahahaha,imebidi nicheke tu jmn,eti oyaa..hahhaha
Hahaha. Mie zombie banaa, kila kitu naitika 'ndio baba'
Subutu! Unless wawe na genuine love for football.
Hamna kinachokeraga wanaume kama mwanamke anaejidai anajua mpira, she's the loudest in the room na hamna lolote.
Yeye na Karucee ni wale wale, wanajua penalty tu! na ni baada ya kuona mijamaa ikipangana mstari imeziba pumbu.
Hahaha mimi i have genuine lov for football na niliambukizwa na kakangu mkubwa na paw. But i am not so vocal, i just watch na kucomment hapa na pale (nna mapozi, lmao, usinichukulie poa. Mamndenyi ana bahati simjui mumewe manake ningemdaka!)
And gals who watch football, wink��
Hahaha. Mie zombie banaa, kila kitu naitika 'ndio baba'
These are not hard and fast rules.
Some men just get turned on by anything.
pia,Hapo kwenye girls in red, thats a first kibongo bongo
Na mwehu kama huyu Karucee yaani anakupashapo moto bila microwave hapa kundi hili kuna Evelyn Salt, Cyan6, TATIANA, Husninyo, badiebey, gorgeousmimi, Heaven on Earth, miss neddy, miss chaga, Vaislay na wengine majina sikumbuki those funky ladies ambao nadhani wanaweza kukuambia oyaaaaa njoo huku nanii inahitaji nanii ndani yake!!!!!!
Wa kuambiwa mie????!!!!
hahahahahaha pamoja na utiifu wangu wote kumbe bado unaniweka kundi moja na bad girl Karuceee eeeeeh
Harufu ya zombie naijua ila kila nikikunusa siipati ujue!!!!!!
Ha ha haaa
Unamtaka yule mfiwa?
He he he, yaani japo niko Chelsea ila sitaki Arsenal ifungwe, maana ndani kunakuwa hamna story tena. Watu wamenunia hadi mafuta ya kujipaka khah!
Usininambie na wewe unataka kuwa zombie?
Nothing beats a SMART lady!