Salender bridge mkandarasi yupo kazini.. Wewe unaishi mkoa gani??mimi ni mtanzania, najua nini kinafanyika na nini hakijaanza kuwa implimented........
sgr ndio tayar inajengwa, ubungo interchange inajengwa, hilo bwawa la umeme (stiers g mikataba wamesaini juzi tu), bagamoyo hata haieleweki, salender bridge wamesaini juzi mkataba.........
so, what i'm saying is, project pekee ambayo contractors wanaendelea na kazi ni hio sgr na ubungo interchange, the rest zipo kwenye mikataba tu..........
kama mtanzania nazijua tabia za viongozi wetu kuahidi vitu na kusaini mikataba, ila utekelezaji ndio mtihani......
kuhusu fedha, most of those ni mikopo, serikali inajisifu kwamba ni fedha za ndani lakn sio kweli, miradi yote % kubwa ni ufadhili na mikopo...............
tanzania haina mapato ya ku-run projects zote hizo kwa pamoja, HATUNA UWEZO HUO! thats why naamini hii miradi gharama zinazorajwa ni pungufu ya gharama halisi (tunamjua magufuli anapenda kusifiwa, aliwahi taja gharama kidogo ujenzi wa hostel kumbe ni mara 5 zaidi)........
hapa JF watasema ni hela ya serikali, lakn waulize wakwambie hio hela inatoka wapi? kama hela haijawekwa wazi kwenye bajeti wao wanapata wapi? hawatakwambia zaid ya kuzunguka as wanajua wazi ni mikopo hio