Sasa kama inapingana na vile Uislam unavyoamini, kunakuwaje na makubaliano ya pamoja kuhusu asili ya Mungu?Dhana ya asili ya Mungu katika Uislamu si mawazo ya binadamu — ni logic: Kiumbe wa Lazima.
Wakristo pia wanakubali kuna Mungu, lakini dhana ya Trinity inapingana na uhalisia huu.
Makubaliano yao ni kwenye uwepo, si tafsiri za binadamu.”
Existence from where?Being born doesn’t explain existence itself
Where was Allah before creation?humans reproduce within creation, but creation itself needs a Necessary Being. That is Allah
Allah doesn't exist through logic.
Allah exists through faith.
Humans aren't contingent beings. Humans are self-existing beings.
Allah isn't necessary being.
In reality, Allah doesn't exist.
That's why you need faith to believe in him.
Allah is just a fictional character. He isn't necessary being.
Allah is a FICTIONAL CHARACTER.
Allah isn't necessary being.
Reasons don't need necessary being (Allah).
Where was Allah staying before creation?Calling Allah fictional doesn’t change logic: contingent things exist, the chain of causes can’t be infinite, so a Necessary Being must exist — that is Allah.
Makubaliano ya pamoja hayako kwenye dhana za tafsiri za binadamu, bali kwenye ukweli wa uwepo wa Mungu.Sasa kama inapingana na vile Uislam unavyoamini, kunakuwaje na makubaliano ya pamoja kuhusu asili ya Mungu?
Kwako wewe, Mungu ni nini?Ng'ombe ni ng'ombe wote tunaifahamu hii haitaji proof wala revelation.Ng'ombe na Mungu ni concept mbili tofauti kabisa.
Sijawahi kumuona Mungu lakini Mungu sio ng'ombe maana naziona kila wakati.Sema kama kuna watu wanaoamini katika ng'ombe ni sawa kwa upande wao na sina mpango wa kuingilia taratibu zao.
Kwa hiyo tafsiri ya kwamba Mungu hana utatu, na tafsiri ya kwamba Allah ni mmoja ni tafsiri za watu?Makubaliano ya pamoja hayako kwenye dhana za tafsiri za binadamu, bali kwenye ukweli wa uwepo wa Mungu.
Where was Allah staying before creation?
How do you know?Allah was never ‘before’—He is the Necessary Being, uncreated and eternal.
Kwa hiyo tafsiri ya kwamba Mungu hana utatu, na tafsiri ya kwamba Allah ni mmoja ni tafsiri za watu?
Kama ina make sense hivi.Lakini mbona huyo mwizi akikamatwa bado anakuwa sio mwizi mpaka mfikishane kwenye vyombo husika kwanini pale pale msimalizane?hawezi kuwa mwizi mpaka pale atakapokuwa proved guilty(maana yangu ni kwamba huwezi kutoa hitimisho kuhusu jambo mpaka pale ushahidi ukamilike.So,what if kuna proof kwamba Mungu yupo?ukipata utabadili msimamo au utaendelea na msimamo wako wa siku zote? Ndio maana napingana na kila anayetaka kuprove kuwa Mungu yupo au hayupo).Negative Proofs: 👇
It is generally unreasonable to demand proof of a negative, particularly if there is no evidence to support the positive claim.
Proofs ni kwa ajili ya kitu ambacho kipo au kinadaiwa kipo.
Proofs si kwa ajili ya kisicho kuwepo.
Kisichokuwepo, hakipo kwa namna yoyote ile ya kuthibitishika kipo.
Hivyo huwezi kutaka uthibitisho wa kutokuwepo Mungu. Uthibitisho unapaswa kutolewa na wanaodai Mungu yupo.
Yani ni sawa Mwizi amekamatwa ameiba na CCTV cameras zime muonyesha kabisa akiiba. Halafu unaambiwa, Thibitisha mwizi hajaiba.
Sasa hapo unathibitisha vipi mwizi hajaiba wakati CCTV cameras zime muonyesha kabisa akiiba?
Kisichokuwepo hakihitaji uthibitisho wa kutokuwepo, kwa sababu hakipo kwa namna yoyote ile ya kuthibitishika kipo.
Ukitumia akili yako vizuri, kuna NGUVU KUBWA YA ASILI INAYOONGOZA HUU ULIMWENGU. Jina la hili nguvu silifahamu.Wewe unalifahamu??Nithibitishie yupo.
These are just islamic claims based on Islamic faith only, Not fact, not proof, not evidence.Allah was never ‘before’—He is the Necessary Being, uncreated and eternal.
Ngoma ngumu hawa ukibishana nao uwe na hoja kwerkwer 😄🤣🤣 Hii umemaliza kabisa.
How do you know?
Utasikia Quran imeandika
| 1.Sema: Yeye Mwenyezi Mungu ni wa pekee. | |||
| 2.Mwenyezi Mungu Mkusudiwa. | |||
| 3.Hakuzaa wala hakuzaliwa | . | ||
| 4.Wala hana anaye fanana naye hata mmoja. | . |
Sijasema revelations zinatoa proof kwamba Mungu yupo.Haya sio maneno yangu.Nimesema revelations zote zinabaki kama Miongozo tu ya kusema Mungu yupo lakini haziwezi kuprove chochote.Kwako wewe, Mungu ni nini?
Kwanini unaona Mungu hawezi kuwa Ng'ombe?
So awamu hii umeamua kuzikataa scriptures na kuziona za kizushi wakati mwanzo ulisema swala la Mungu ni swala la revelations na sio proof?
These are just islamic claims based on Islamic faith only, Not fact, not proof, not evidence.
Even a Christian can tell you, Jesus was never "before" He is a Necessary Being, uncreated and eternal based on his christian faith.
Kwa hiyo, Hii ni imani yako tu.
This is just your faith.
It's not a fact supported by evidence .
Lazima mwizi ahukumiwe kwa mujibu wa sheria.Kama ina make sense hivi.Lakini mbona huyo mwizi akikamatwa bado anakuwa sio mwizi mpaka mfikishane kwenye vyombo husika kwanini pale pale msimalizane?
Sasa nyie mlihakikisha vipi na mna uthibitisho upi wa kwamba Mungu yupo?hawezi kuwa mwizi mpaka pale atakapokuwa proved guilty(maana yangu ni kwamba huwezi kutoa hitimisho kuhusu jambo mpaka pale ushahidi ukamilike.
Mungu angekuwepo wala kusingekuwa na haja ya kuhoji uwepo wake, Kila mtu angejua kwa uhakika kabisa Mungu yupo bila utata na imani.So,what if kuna proof kwamba Mungu yupo?ukipata utabadili msimamo au utaendelea na msimamo wako wa siku zote? Ndio maana napingana na kila anayetaka kuprove kuwa Mungu yupo au hayupo).
Kisicho kuwepo ndio hakijulikani.Wote hatujui kama yupo au hayupo.Anayesema yupo ana hoja zake ambazo akikupa utazipinga kwa sababu hazitengenezi direct relationship kati ya concept(God) and physical being(na sababu ni kwamba Mungu haonekani kwahiyo maelezo yoyote yale hayawezi kueleweka).
Tutajuaje kwamba kitu hakipo kwasababu ni kweli hakipo au kipo ila umekosekana tu uthibitisho wa ku prove kipo?"Lakini mimi naweza kukuonyesha kitu kidogo ambacho kinaweza ku-guide kuwa kuna Mungu(au nguvu ya ziada nje ya binadamu).Hii mpaka unione physically ndio utaona hicho kitu
Hiyo tafsiri ya Allah inapatikana wapi?Sio tafsiri tu za watu—dhana ya Allah kuwa Kiumbe wa Lazima, asiyeumbwa, asiye na mwanzo wala mwisho, ni logic ya ontology, si maoni ya kibinadamu.
Utatu wa Trinity ni tafsiri ya binadamu; hauhusiani na uhalisia wa Mungu